Michelle.........

Hahahaaa so unaogopa kichapo.....teh
Dah ngoja basi tukusaidie kumtafuta ila sasa itabidi usimfanyie km ulofanya kwa E wa T maana nayeye atatafuta small house bila kujali umemnunulia Rav 4
hebu tuklie kwanza la hashycool,bado wako pamoja au wameachana.
 
Michelle aliingia anga zangu, nikamfukuza jamvini.
Eti alitaka kushare na mimi, nikamwambia nani????

Nimemvimbisha manyonyo yuko Sumbawanga anatibiwa.
kurudi tu umeanza makeke? ngoja nikuitie PaW!
 
E wa T, kiboko ya Byshernger.

Ila bepari naye kazidi kufakamia hawa viepe dume, hatuwezi sie wa kempkisky.
Invisible uko wapi? shughulikia huyu mtu aisee,naona hajashika adabu!
 
Teh ndo maana kaamua kuja na kuomba msaada eti E wa T anampasua kichwa wakati nahisi yeye ndo asua kichwa halafu anaingilia sana ndoa ya Nitty sijui anataka kumpindua kwa SL
Nitts ndugu yangu bana,baba mmoja mama mmoja tumbo mbali mbali!
 
Acha unafiki wako hujui kama bishanga ni my broda hawezi nifanyia hivi halafu wewe mbona ndoa yako inayumba?
Wee aliyekuambia inayumba nani?
Nilikuwa safarini kikazi ndo maana hukutuona pamoja ila haimaanishi ndoa inayumba....
Yako ndo naiona kama haiko sawa kabsaa
 
Hapa ni kwamba Bishanga anampa kashfa E wa T ili aonekane kahamia kwa Mwanakijiji ili apate ruksa ya kuwa na Michelle ila ukweli mwanakijiji hajui lolote
Erick bana,uzi ambao Eliza wa Tegeta alijilipua jana hukuuona? alitamka wazi wazi kuwa yeye na MMJ damdam (mwenye maujuzi ya kukopi na kupesti aumwage hapa),ushahidi gani zaidi ya huo unataka? mi usiku kucha nimelia mpaka basi.We fikiria nimemjengea Tegeta nyumba halafu na RAV4 juu kisha ananifanzia?
 
Hii couple ya E wa T na Mwanakijiji mbona siilewi. Wote wanajua kua ni couple au ndio yale ya mtu kutangazwa ni mume wakati hajui ana mke?
tatizo mi si mtaalam wa kompyuta,Konnie tusaidie utukopie na ku pest hapa.Jana Eliza wa Tegeta alifunguka kwenye uzi mmoja humu kisha aka dissapear,alisema kila kitu kuhusu yeye na MMJ.Nimeumia ni hatari.
 
Dah pole sana Bishanga.....sikujua hebu ngoja nikajiridhishe kwanza na huo uzi maana nawewe huchelewi kutuingiza mjini..
 
Hehehehe nilikuona ulivyokua umekaa kijeshi!!!Ingekua soo.

Naaah. . .hata sio. Ila najaribu kujiuliza lini walikubaliana nakosa jibu, rahisi kuamini ni kwamba mmoja anapenda japo mwenzie hajui.
you mean Eliza wa T anajigonga kwa mzee?
 
tatizo mi si mtaalam wa kompyuta,Konnie tusaidie utukopie na ku pest hapa.Jana Eliza wa Tegeta alifunguka kwenye uzi mmoja humu kisha aka dissapear,alisema kila kitu kuhusu yeye na MMJ.Nimeumia ni hatari.

Ukichukuliwa mke na wewe mtafute mdhaifu na wewe umchukulie hii haipunguzi machungu ila inarudisha hadhi ya kiume
 
Tatizo wote wamepotea jamvini tungempata mmoja wapo ndio ingekuwa powa, hivi mzee wa pua ndefu yupo?
Mambo vp shem wangu wangu wa ukwe'ee!
Nimekumissije!
Mzee wa pua ndefu yupo na hajambo kbs,niko naye hapa tunatafakari ujio wa mwanetu mtarajiwa lol!
Jaman my darlie wifi SL mzima?mwambie mie nimeamka salama kbs leo!
 
Pole sana Bishanga,
Hata mie niliona jana maneno yakaniishia kbs,
Usjali weka mazingira mazuri kwa michelle wenda akakupatia hifadhi ya moyo lol!
 
Mambo vp shem wangu wangu wa ukwe'ee!
Nimekumissije!
Mzee wa pua ndefu yupo na hajambo kbs,niko naye hapa tunatafakari ujio wa mwanetu mtarajiwa lol!
Jaman my darlie wifi SL mzima?mwambie mie nimeamka salama kbs leo!

Miss you too, wifi yako mzima si unajua weekend ilianza jana kwa ameamka na kauchovu kidogo, mzee wa pua ndefu hajaacha makeke yake hasa katika kipindi hiki cha wewe kuwa na katumbo?
 
Hahahaaaaa mnajitetea hujui kuna kaka wanatakaga vya wadogo zao eti kizuri kula na ndugu yako...Lol

Mambo ya familia achana nayo halafu nimekuta sms ya mapenzi kwenye simu ya mke wangu kichwa bado kinaniuma jamani
 
Eliza wa tegeta yupo na mwanakijiji wake wametulia kama hawapo. siku moja eliza apotee uone mzee mwanakijiji anavyo haha. Ukweli wanapendana sana.
Una akili sana wewe dubu!!
Nitakuletea samaki wa kukaanga
Hapa mnatongozana au mmeshatiana moyoni tayari kwa posa??!!
Mimi na mjomba uncle MMKJ tutawasaidia kupeleka posa!
Dah Kweli Bishanga imekula kwako.....
Pole sana....
Basi ngoja tumtafute Michelle aje akufute machozi maana tunaweza kukupoteza....
 
Miss you too, wifi yako mzima si unajua weekend ilianza jana kwa ameamka na kauchovu kidogo, mzee wa pua ndefu hajaacha makeke yake hasa katika kipindi hiki cha wewe kuwa na katumbo?
Nafurahi kusikia ivo,mwambie wifi ywngu namiss sana!

Mme wangu lzm makeke yawepo jaman,si unajua wakati huu yanahusika sana!!
Hapa nimetoka kumlisha cha asubuhi kajipumzisha lol!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…