Just like our Salma.
hahaaaaaaaahaaa you have made my dayNilimpenda jana alipokuwa akishuka ngazi toka kwenye ndege utadhani mtoto wa miaka. Siyo kina sisi unashuka ngazi utadhani una majipu:caked: mazoezi kitu cha maana sana!
First of all these kids knows how to behave, even b4 baba hajawa president.Pia as the First Kids nadhani wamefundishwa jinsi ya kubehave mbele za watu.E ven that mama alikuwa kwenye reality show moja akasema watotot wangu wanatandika vitanda wenyewe, wanaandaa msosi mezani na hata chakula cha shuleni wanajiandalia wenyewe. I really like that...Jamani hebu fuatilieni hizi vizuri hawa watoto wa Obama, naona mikono kila mara wameifunga pamoja. Ndio etiquette zenyewe au ni mazoea tu?