Michelle Obama ziarani South Africa( pichaz)

062111_mobama09.sJPG_900_540_0_95_1_50_50.sJPG


Huyu mama kweli noma hata kiduku anakata.,sipati picha ingekuwa Mrs. M.k.w.e.r.e hapo sijui angepiga miondoko gani
 
Hapa alilazimika kuvaa hii minguo hovyo kabisa.....Indonesia

800_ap_obama2_101109.jpg

Sometimes it is better to keep your mouth shut than trying to spread the venom. You know damn well that to some people hayo mavazi ni heshima kubwa kwao and yet unatoa comment kama hii????????!!!!!!!!!!!!!!!
Hivi unafikiri ni kwa nini Mrs Obama alivaa hivi. Ni kwa sababu ni muelewa na anajua watu tofauti wana imani na mawazo tofauti, sasa sijui wewe ni nani kuja hapa na kuhukumu kuwa haya mavazi ni hovyo??!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom