Michelle Obama ziarani South Africa( pichaz)

Nilimpenda jana alipokuwa akishuka ngazi toka kwenye ndege utadhani mtoto wa miaka. Siyo kina sisi unashuka ngazi utadhani una majipu:caked: mazoezi kitu cha maana sana!
hahaaaaaaaahaaa you have made my day
 
Hapa alilazimika kuvaa hii minguo hovyo kabisa.....Indonesia

800_ap_obama2_101109.jpg
Na hapa je alilazimishwa kuvaa hivi?

obama-pope.jpg





 
Huyu mama yuko simple na ananyumbulika kinoma.....Sijui shemeji yetu Salma anjifunza nini hapo??
 
...Jamani hebu fuatilieni hizi vizuri hawa watoto wa Obama, naona mikono kila mara wameifunga pamoja. Ndio etiquette zenyewe au ni mazoea tu?
First of all these kids knows how to behave, even b4 baba hajawa president.Pia as the First Kids nadhani wamefundishwa jinsi ya kubehave mbele za watu.E ven that mama alikuwa kwenye reality show moja akasema watotot wangu wanatandika vitanda wenyewe, wanaandaa msosi mezani na hata chakula cha shuleni wanajiandalia wenyewe. I really like that
 
Uvaaji wa Mke wa Obama.. ni kutokana na mazingira aliyopo, akiwa indonesia atavaa tofauti na akitembelea S.Africa, au S.arabia, au IsraHell etcl...
 
Asante kwa habari na kuweka hii thread maana nilisahau kabisa kuifuatilia safari ya mama huko South Africa....

Hapa anasakata mchezo wa watoto huko South Africa....


Hapa picha zaidi alipokuwa huko SA.
 
Last edited by a moderator:
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom