Michelle Obama; America's Most Photographed 1st Lady!

Michelle Obama; America's Most Photographed 1st Lady!

Alikwisha onja dope huyu bwana! Ilikwisha toka kweli kichwani?
 
I still have them.. though not rich n famous, they r my world... my heroes!!:A S 8:
 
Nashindwa kuelewa. Hii sio mara ya kwanza occupant wa White House kuwa na watoto wadogo wa kike. Clinton alikuwa na Chelsea na Bush alikuwa na Jenna na Barbara. Hata Kennedy alikuwa na wanawe wadogo tu.

Na wote hawa maraisi waliwapenda vilivyo watoto wao. Lakini nyie huyu Obama mnamfanya kana kwamba ndio wa kwanza kuonyesha mapenzi kwa wanawe. Mbona Bush hamkumbandika hivi na mapacha wake?

Au ni kwa vile Obama ni chotara (sio mweusi kama ambavyo mngependa iwe) ndio maana mnaonyesha upendeleo na mhemuko wa ajabu? Angalia kwa mfano mkewe...yaaani ni mwanamke wa kawaiiiiiida sana. Yaani kawaida mno lakini mnavyomwongelea utadhania duniani ndiye mrembo pekee wakati mbele ya warembo hatii hata mguu.

Mnachekesha kweli nyinyi. Na subirini 2012 atakapobwagwa huyo Obama wenu...tayari nshaanza kusikia vilio vya "ubaguzi"....sasa sijui alichaguliwaje ktk nchi yenye wazungu zaidi ya asilimia 70 ya raia wake.
Hapo kwekundu ndio umenikuna sana. Yaani mimi nilikuwa naudhika sana kipindi kile walipokuwa wanatangaza kuwa Obama ni raisi wa kwanza mweusi Marekani. yaani inaudhi sana kuona kuwa kila anayekosa identity anajibandika weusi.
 
Nyani,
Usitie wasi. Obama habwagwi 2012. Na nani? Sarah Palin? Republicans are trying to re-invent themselves.
 
Nyani,
Usitie wasi. Obama habwagwi 2012. Na nani? Sarah Palin? Republicans are trying to re-invent themselves.

Kwani 2006 Obama alikuwa nani? Just a jr senator from Illinois...this is 2010....we're two years out. But watch out for Mitch Daniels....

Halafu huyo Obama wenu anachemsha mno...haachi kufunga mdomo wake. Sasa kajiingiza kwenye controversy ingine na huo msikiti wa hapo ground zero.

Kubali/ kataa huyu jamaa yenu ni one termer. Halafu ngoja nikuulize. Tokea kawa raisi wewe umeona change gani mpaka sasa? Maana mimi naona hakuna tofauti yoyote.

So much for change you can believe in....
 
ndio maana ridhiwani amebaki kuigomabanisha CCM nahisi hakupata mapenzi ya kutosha toka kwa baba yake akabaki kutembea tembea tu hivyo malezi yake mabovu yanamuathiri leo hii.
 
mnh si ukanitosa...GHAFLA!:A S 100::eyeroll2::confused2:

Hapana sijakutupa! &#8230;. Nilikuwa najipa muda wa kutosha na wanangu&#8230;. <?xml:namespace prefix = st1 ns = "urn:schemas-microsoft-com😱ffice:smarttags" /><st1😛lace w:st="on">Ili</st1😛lace> sikumoja waseme &#8230;we had enough time with our parents &#8230; and it gave us real confidence to face the world etc. ..na yote haya si utabiri ni simple scientific facts!
<?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-com😱ffice😱ffice" /><o😛> </o😛>
Nisipofanya hivyo &#8230; watatokea watu wengine kujazia nafasi &#8230;na who can tell, wanaweza kuwa ..Wrong kind of people&#8230; waharibifu!!
<o😛> </o😛>
Huoni huyo Prez, Obama yuko very close na binti yake &#8230; na hii inamfanya huyo mtoto kujiamini na kujisikia kukamilika ...in such a way&#8230; hata kwa mwanaume kujaribu kuwa rafiki yake lazima awe yuko vizuri !!
<o😛> </o😛>
Swali? mbona umefikia uamuzi wa kuwa nimekutupa mapema hivyo, just two days? &#8230; kwa nini usingefikiri nimekuwa busy tu nk!!? Au hiyo sentensi umeshawahi kuitumia katika hali ya uhalisia wake? kweli kuna mtu naweza kukutosa wewe just in two days? au? &#8230; Just joking!!!:becky:
 
Kwani 2006 Obama alikuwa nani? Just a jr senator from Illinois...this is 2010....we're two years out. But watch out for Mitch Daniels....

Halafu huyo Obama wenu anachemsha mno...haachi kufunga mdomo wake. Sasa kajiingiza kwenye controversy ingine na huo msikiti wa hapo ground zero.

Kubali/ kataa huyu jamaa yenu ni one termer. Halafu ngoja nikuulize. Tokea kawa raisi wewe umeona change gani mpaka sasa? Maana mimi naona hakuna tofauti yoyote.

So much for change you can believe in....

Nahisi Wamarekani wanajuta kumchagua huyu bwana mkubwa. It is likely uchaguzi ujao akashindwa kirahisi sana tu.
Ila kwa upendo kwa familia yake namfagilia.
 
Nahisi Wamarekani wanajuta kumchagua huyu bwana mkubwa. It is likely uchaguzi ujao akashindwa kirahisi sana tu.
Ila kwa upendo kwa familia yake namfagilia.

Oh yeah...wengi sasa hivi wana buyer's remorse!! Yaani yeye kila kitu yupo tu...haachi kimbelembele. Kwenye issue ya Prof. Gates alijiingiza. Na sasa hivi hii ya msikiti kajiingiza na kuufagilia halafu kesho yake akajaribu kubadilisha kauli..too late. Kibaya zaidi kuna segment ya watu ambayo tayari ina perception kuwa yeye ni Muislamu (siyo kwamba ni vibaya kuwa Muislamu lakini Marekani ni overwhelmingly Christian na wale maghaidi walikuwa Waislamu).

Uchumi na wenyewe bado unasuasua...unemployment bado bado iko juu. Anacheza na Wamarekani huyu. Watamtosa vibaya sana 2012 na utaona jinsi watu watakavyolia ubaguuuuzi ubaguuuzi....
 
Si unakumbuka hata wakati wa kampeni za uraisi walimtoa kwenye katuni yeye na mkewe kama al qaeda? Gonga HAPA kuona katuni hiyo. Sasa wengine wataanza kuikumbuka katuni hiyo na kuamni kuwa ni kweli. Na wakishashawishika basi ndo mwisho wake.

obama-ny-cp-5176045.jpg
 
Pamoja na mikanganyiko ya Amerika, hii picha ya Mr. Obama na bintiye imenifuhisha sana!
 
.......Hata mie napendwa na daddy yangu sana tu, sasa hivi nipo mbali naye hivyo haiwezi pita siku bila kunipigia simu. Hivyo tupo wasichana wengi tunaopendwa na baba zetu na kutoka out pamoja kama Obama na familia yake........sema wengine hatuonekani tu kwenye hizo media.
 
Lots of congratulation pretty! I wish you all the best ... upate mume - Dady's type.. muwe na watoto wazuri uwalee kama ulivyo lelewa... hata hivyo hiyo si ndio maana ya maisha ya familia!!!
 
Back
Top Bottom