Michelangelo; Genius aliemchallenge vikali Leonardo Da Vinci kwenye kazi za Sanaa

Mimi nadhani ndio nimepotea... Naamini mlikuwepo bado mnaendesha kubadilishana elimu hapa JF.

Nimewakumbuka saana.
Mkuu it has been a while since we lost your touches brother, karibu tena jukwaani chief i hope ujio wako will be much more than it has ever been before.

Mimi ni muwakilishi wa wengi tunaobarikiwa na maandishi yako huku tukiwa kimya nakuomba upokee salamu hizi kutoka kwa watu wa upande wa pili tunao appreciate your contents.
 
Shukrani Sana Mkuu!

Nimeifurahi Sana kusikia kutoka kwako. Nakufahamu vyema na umekuwa sehemu ya watu muhimu ya familia yangu toka Jamii forum.

Hivyo naamini tutakuwa na wakati mzuri tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom