Michelangelo; Genius aliemchallenge vikali Leonardo Da Vinci kwenye kazi za Sanaa

Mwenye kitabu 'The Da Vinci Code' by Dan Brown.... tafazali .

Usile Mbegu.
 
Bora yako wewe mkuu umenipa moyo wengine wanapita kimya kimya tu no likes no comment..yaani anasoma na kusepa as if nothing happened..! Yaani hujui kama kafurahishwa au hajafurahishwa na nondo...!

Tupeane moyo ili kesho tulete material zaidi.

Asante mkuu kwa encouraging comment.
Sifa hazilazimishwi zinakuja zenyewe, ndo hapo waafrika tunapo feligi
 
Sio mchezo mkuu!

Vipi ulishawai kumsikia Michelangelo hapo awali mkuu?
Mimi ni Artist (self taught) nimemsoma sana Michelangelo na Da Vinci.

Hawa jamaa walifikia kutumia kadava kwenye kazi zao za sanaa.

Da Vinci alikuwa na mchoro mmoja aliouita WOMB ambapo alipredict namna mtoto anavyokaa tumboni na anavyozaliwa ofwhich baadaye wanasayansi walikuja kuprovemule mule alivyopredict kupitia mchoro.

Ana mchoro mmoja hakuumaliziatitled ADORATION OF MAGI, bonge la sketch...

Ahsante sana kwa hii wonderful knowledge. Nimeikopi nitaenda kuwafundisha wanafunzi wangu wa sanaa hii historia
 
Shukrani mkuu japo kitambo ila nimesoma yote..kusoma bandiko lako ni sawa na kumtizama kim kardishian akiwa mtupu.
 
Bora yako wewe mkuu umenipa moyo wengine wanapita kimya kimya tu no likes no comment..yaani anasoma na kusepa as if nothing happened..! Yaani hujui kama kafurahishwa au hajafurahishwa na nondo...!

Tupeane moyo ili kesho tulete material zaidi.

Asante mkuu kwa encouraging comment.
Mkuu shukrani zikufikie popote ulipo (isipokuwa chooni) aise nimefurahi sana art related articles. May God Bless You. Wewe na mtu mmoja huku anaitwa The Bold mnatuletea vitu adimu sana wakuu nawakubali sana 🤛
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom