boss apple zinastawi vizuri kwenye mikoa yenye joto kiasi,kiwango kikubwa cha mvua na baridi.Mkuu Lily Tony ,apple vipi inaweza kuleta matokeo mazuri kwa maeneo ya masasi na tunduru
Asanteboss apple zinastawi vizuri kwenye mikoa yenye joto kiasi,kiwango kikubwa cha mvua na baridi.
Mikoa kama Mbeya,Arusha,Iringa etc apple zinastawi vizuri.
Masasi ni pwani ,hutapata matokeo mazuri sana hasa kama unalima kibiashara
Unajua sijapata Apple cuttings mpaka sasa!!!
Je naweza kukuletea miche ya pinus nikuuzie kwa bei ya jumla nafuu?Miti ya mbao inayopatikana kwenye vitalu vyetu ni
1.Cederella
2.Pinus
3.Eucalyptus
4.Teak
bei ya mche ni sh 2000
Kwann usiseme kuanzia miche kadhaaa ni jumla
Mkuu naweza kupata vipimo vya kupanda korosho??Ndio boss,Korosho unaanza kuvuna kuanzia miaka 2-3 .Bei ya mche ni 2000 Ila ukichukua kuanzia miche 50 bei ya mche ni 1500.Karibu
kwa space ya 10*10 utahitaji miche 50/acre.Mkuu naweza kupata vipimo vya kupanda korosho??
Kwa heka moja inakaa miche mingap??
Je kwa mikoa ya pwani muda mzuri wa kupanda korosho ni lini??
Mna mbegu za minyonyo yenye asili ya jamaica?karibu sana mkuu muda na saa yoyote nikuhudumie