INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

IMG_20240328_104710.jpg

Miche ya parachichi za Burundi inapatikana
 
Happy Easter dear customers
Kama uliwahi kununua miche kwetu na kuna changamoto yoyote au dalili yoyote kwenye miche ambayo sio nzuri, please usisite kunitafute ili kukupa ushauri.

Piga picha mche/miche husika kisha unitumie WhatsApp.

My customers my pride♥️
 
Ile minazi ya mbegu fupi mshaipandikiza? Kuna wakati ulisema imeisha. Na embe dodo mbegu fupi kama zipo nijulishe.

Pia unifafanulie kama hizo parachichi za Burundi zinaweza kukua maeneo yenye hali ya hewa ya joto.
Tate Mkuu Minazi mifupi tumeacha kuzalisha kwasasa, changamoto ni upatikanaji WA mbegu zake.

Parachichi inastawi vizuri zaidi maeneo yenye baridi,miinuko.

Karibu
 
Miche ya Ashoki inapatikana kwenye vitalu vyetu.
Bei ya mche ni sh 1500 endapo utanunua mche kuanzia 1-10

Na utauziwa mche sh 1000 endapo utanunua miche kuanzia 10 na kuendelea
IMG-20240425-WA0010.jpg
 
Kwanini ununue kwetu?

1.Kwetu utapata miche yenye afya na ubora wa hali ya juu.

2.Bonus zipo(suprise)

3.Utapata customer care nzuri ambayo hujawahi kuipata mahali pengine popote,♥️

4.Tumeweka utaratibu wa kuwasikiliza/ kuwasiliana na wateja wetu kila baada ya kipindi Fulani,lengo ni kuweza kusikia kutoka kwao kama kuna changamoto yoyote wanakutana nayo katika kuitunza miche.

5.Kununua kwetu ni jambo moja lakini elimu na maelekezo muhimu unayopata baada ya kununua miche,ni jambo la pili.

6.Endapo kutakuwa na changamoto yoyote wakati wa kusafirisha parcel,mfano

Miche kuvunjika
kupotea Kwa parcel
kupokea parcel yenye idadi pungufu n.k,
tutakuandalia na kukusafirishia parcel nyingine Kwa gharama zetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom