INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Miti ya mbao inayopatikana kwenye vitalu vyetu ni
1.Cederella
2.Pinus
3.Eucalyptus
4.Teak
bei ya mche ni sh 2000

Ukiondoa teak ipi tena ni hard wood? Alafu bei zenu fanyeni review nakumbuka mara ya mwisho nilinunua mche 1 wa teak kwa 350 tsh. Kutoka hapo morogoro
 
Screenshot_2021-04-15-23-21-45-1.png
 
Uliwahi kukutana na changamoto ya majani ya miche kujikunja?

Uliwahi kukutana na changamoto ya matunda yako kuwa na wadudu ndani,hali ya kuwa kwa nje yana muonekano mzuri na wa kuvutia?

Kwa hayo na mengine mengi karibu SUA,Horticulture ,hapo utakutana na wahudumu wetu watakao kupa muongozi,ushauri na elimu bure kabisa baada ya kununua miche.
 
Nimeona mnaongelea cadamia. Binafsi siifaham Ila naona Ina Bei imechangamka, 20,000 kwa kilo na tunda lenyewe naona Ni kubwa laweza kuwa zito. Nipo interested kuifaham please.
 
Wakuu,minazi ya muda mfupi(Mbegu ya pemba) imekuwa na changamoto kidogo katika uzalishaji wake,hivyo tunaomba radhi hatutakuwa nayo mpaka pale tatizo litakapo patiwa ufumbuzi.Tunaomba radhi kwa hilo na karibu tuwahudumie
 
Asante mkuu kwa mrejesho,na hongera kwa matunzo mazuri ya miche.

Miche hiyo ina miezi 4.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom