Mkuu Mufindi unaweza kupanda miche ifuatayo.Mkuu ningependa kupanda miche ya matunda Mufindi, ni yapi yanayoweza kustawi huko? Naomba ushauri kabla sijaamua kununua miche na kuipeleka huko.
Asante sana. Soko la zaituni na komamanga linapatikana wapi na bei zake zikoje? Inachukua muda gani kwa komamanga kuanza kutoa matunda?Mkuu Mufindi unaweza kupanda miche ifuatayo.
Strawberry
Parachichi
Komamanga
zaituni
cocoa
apple
peasi
pera
passion aina zote
makadamia etc
migomba yetu imegawanyika makundi mawili.Bei ya migomba na aina yake naomba uweke pia Asante
migomba yetu imegawanyika makundi mawili.
A.migomba ambayo ndizi zake zinafaa kukaanga na kupika,nazo ni Mzuzu,mshale,Mkono wa tembo,Jamaica,Ugandagreen,William
B.migomba ambayo ndizi zake zinafaa kwa ajili ya matunda,nazo ni Mtwike,Kimalindi,Kisukari
Bei ni sh 3500.Ila ukihitaji miche kuanzia 50 unapata discount.
Bei ngapi kwa hiyo ya ukanda wa pwani/morogoro mjini!?Inakubali ila kuna utofauti kati ya Cocoa ya Ukanda wa Pwani na ile ya Ukanda wenye baridi.
Cocoa ya ukanda wa Pwani inawahi kuiva,ila haina matunda mengi.
Cocoa ya ukanda wenye baridi inachelewa kuiva na ina matunda mengi.
karibu boss
kuanzia miche 50,utauziwa kila mche sh 3000 badala ya 3500Asante kwa muongozo!! Je discounts ya PC 80 bei gani? Na je ni pamoja na usafiri kuja pwani Bagamoyo Fukayosi.
cocoa mche sh 3000Bei ngapi kwa hiyo ya ukanda wa pwani/morogoro mjini!?
Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
Nashukuru lakini hujanijibu kuhusu soko na bei tafadhali.Zaituni mavuno baada ya miaka 4
komamanga mavuno baada ya miaka 2
cocoa mche sh 3000
Parachichi hizo zenye omba refu ni aina ya Fuerte na hizo nyingine ni Hass.Asante mkuu nimekupata, naomba kujua majina ya hiyo miparachichi miwili uloweka kwenye picha, nimekuwa nikiyala Moshi ila sijui majina yao. Nimeipenda, nitakuunga mkono
Mbegu ya pemba ipo, Hii unavuna baada ya miaka 3. Lakini pia ipo Africantall, unaanza kuvuna baada ya miaka 8