100%Kwenye udongo usiouelewa otesha michungwa au milimao ...
Mimi nili agiza kutoka SUA, ambayo ni mipera,michungwa, milimao na miembe
Miche kama 700 hivi
Ila imepona kama 200, nilichogundua Miche pekee kwa eneo usilolifahamu ni Bora uoteshe michungwa na milimao inakubali bila
Ramli chonganishi hiyoπππWakuu, niliagiza miche ya miembe toka Morogoro. Kwa kweli quality yake ilinitia mashaka. Shambani ni kama 70% ili-fail. Rafiki yangu akanishawishi niagize toka Nairobi.
Kwa kusita nikaagiza. Hii ilikuja mizuri sana kwa bei sawia. Hadi leo 90% ipo shambani. Nauliza Kuna yeyote humu amepatwa na madhila kama haya? Kwenye picha nilizoambatanisha unadhani ni ipi ya Mji kasoro bahari?π
View attachment 3420831View attachment 3420832
Zamani nilipofundishwa ku-transplant shambani miche iliyofanyiwa budding au grafting niliambiwa subiri hadi shina la mche husika liwe angalau na unene wa kalamu ya pencil. Hili somo nililisahau.hujaeleza kwanini ili-fail mkuu
sawa mkuuZamani nilipofundishwa ku-transplant shambani miche iliyofanyiwa budding au grafting niliambiwa subiri hadi shina la mche husika liwe angalau na unene wa kalamu ya pencil. Hili somo nililisahau.
Miche mingi niliyopokea toka kasoro bahari haikuwa na unene huu. Ilikuwa myembamba zaidi. Pia ilikuwa na viriba vidogo. Nahisi haya mawili ndio yaliiua tulipoihamishia shambani. Ya Nairobi ilikuwa minene na viriba vilikuwa vikubwa. Haijafa.
naam mkuu, namna ya kufanya regulations imeshakua changamoto, lakini pia ni nidhamu ya kazi mbovu tu kuna muda unapokea miche ukiiangalia tu unajiuliza maswali kama itaweza kutoboa --- lakini tunasongaMi nadhani Moro kuna demand kubwa ya miche toka Bongo nzima (brand ni SUA) kiasi kwamba mazingatio ya ubora inakuwa mtihani
SUA kama SUA hawazalishi miche pale ni wahuni wanao tumia jina la SUA na nashangaa sana SUA kukaa kimyaWakuu, niliagiza miche ya miembe toka Morogoro. Kwa kweli quality yake ilinitia mashaka. Shambani ni kama 70% ili-fail. Rafiki yangu akanishawishi niagize toka Nairobi.
Kwa kusita nikaagiza. Hii ilikuja mizuri sana kwa bei sawia. Hadi leo 90% ipo shambani. Nauliza Kuna yeyote humu amepatwa na madhila kama haya? Kwenye picha nilizoambatanisha unadhani ni ipi ya Mji kasoro bahari?π
View attachment 3420831View attachment 3420832