- Mke kusitisha kupika, kufua nguo za ndani za mwanaume.
.
Jamani hamjambo wapendwa,
Najambo ningependa kupata michango yenu. Hivi mathalani mke/mume wamekasirishana ndani ya nyumba ikafikia kuambiana kwamba from now kila mtu ashike time zake wakati bado wapo kwenye makataba wandoa, wamefikia hatua ya kila moja kulala ubavu wake au separate room kabisa. Na haiwezekani kupata divorce mpaka pengine mke ajifungue (HII NI KWA NCHI ZA NJE NA SHERIA ZAO SIO TANZANIA) maana mme ndo kasema wa divorce wakati kosa ni lake la kudanganya then kwa hasira mke kamnasa kibao na kumbomolea simu yake!Hivi je, hapo haya yatokeapo ni sawa:
-Mume kutoka hm tuu bila kuaga then kurudi manane yuko bwi.
- Mke kusitisha kupika, kufua nguo za ndani za mwanaume.
Naombeni samahani sana,naomba maoni na sio matusi kama wengine walivyo humu ndani.
ndugu yangu 4x4,hapo kwene color nadhani inaapply zaidi kwa wenzetu wazungu, kwa kwetu huku uswahilini ni tofauti kabisa...no comments kwa kweli...tusubiri wajuzi wa mambo watakuelimisha....japo hujaeleweka unataka ushauri wa nini hasa...samahani kama nimekukwaza
Jamani hamjambo wapendwa,
Najambo ningependa kupata michango yenu. Hivi mathalani mke/mume wamekasirishana ndani ya nyumba ikafikia kuambiana kwamba from now kila mtu ashike time zake wakati bado wapo kwenye makataba wandoa,
wamefikia hatua ya kila moja kulala ubavu wake au separate room kabisa. Na haiwezekani kupata divorce mpaka pengine mke ajifungue (HII NI KWA NCHI ZA NJE NA SHERIA ZAO SIO TANZANIA) maana mme ndo kasema wa divorce wakati kosa ni lake la kudanganya then kwa hasira mke kamnasa kibao na kumbomolea simu yake!
Hivi je, hapo haya yatokeapo ni sawa:
-Mume kutoka hm tuu bila kuaga then kurudi manane yuko bwi.
- Mke kusitisha kupika, kufua nguo za ndani za mwanaume.
Naombeni samahani sana,naomba maoni na sio matusi kama wengine walivyo humu ndani.
Wameambiana na kukubaliana.
Hapana ni mme ndo kamwambia mke, amejaribu kumuomba msamaha wa kuwa na hasira kali ila mme akapeleka divorce paper. Ila ndo ulikuwa wimbo wa mme toka awali hata kabla ya mke kupata permanent visa yake.
...si waliambiana na kukubaliana? haijalishi nani kasema.
Mmoja hajakubali (mke)maana anaona ameonewa.
Ni sawa tu. Kama una doubt, rejea awali.
WALIAMBIANA NA KUKUBALIANA. Haya mengine yote ni matokeo tu.
Matokeo kivipi
...Hivi je, hapo haya yatokeapo ni sawa:
-Mume kutoka hm tuu bila kuaga then kurudi manane yuko bwi.
- Mke kusitisha kupika, kufua nguo za ndani za mwanaume.