NDIYO kwa DR SLAA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NDIYO kwa DR SLAA

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MAMA POROJO, Sep 20, 2010.

 1. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
  Napongeza jitihada za Chadema, kwenye kampeni zao za uchanguzi, Watanzania tumekuwa tukifuatilia maoni na mapendekezo ya Watanzania wanaopenda mabadiliko ya uongozi wa taifa letu.


  Hali kwa sasa siyo shwari hata kidogo ndani ya ccm, kwa sasa zaidi ya magari 200 ya serikali yamebadilishwa namba na kuwekwa namba za kiraia na yapo kwenye kampaini za ccm, malipo yote ya pesa serikalini yamesimamishwa, pesa zinapelekwa kwenye uchaguzi.

  RUSHWA na USHIRIKINA ni sehemu ya kampeni za CCM.

  Watanzania wenye hofu ya Mwenyenzi MUNGU, naomba tufanye kitu kimoja, na hakika kwa umoja wetu tutafanikiwa, na itakuwa ni hatua yetu muhimu ya kusonga mbele kwa kishindo tukielekea siku ya uchanguzi siku 42 zijazo kuanzia leo.

  1) Tumuwezeshe Dr. Slaa, wabunge, madiwani wahitimishe mikutano yao ya ushawishi wa kuchanguliwa kwa kishindo.

  2) Taratibu za kuwapata mawakala waaminifu zianze sasa kwenye kila kijiji, tarafa, wilaya, mkoa na taifa.

  Kila jambo jema lina gharama zake, tusibweteke kwa juhudi za mtu mmoja, kila mtu kuanzia sasa ajihesabu kuwa sehemu ya mafanikio ya kuleta matumaini mapya kwa jamii ya Watanzania.

  Kama upo tayari kuwa sehemu ya ushindi fanya jambo moja sasa kati ya haya:-

  1) Changia CHADEMA kwa kianzio cha shilingi zisizopungua 10,000/=

  2) Shawishi watu 10 kwa kuwatembelea, kuwapia simu au watumie SMS nao wachangie kwa kiwango cha 10,000/= au zaidi.

  Account za Benki

  CHADEMA-M4C CRDB 0J080100600
  CHADEMA NMB 2266600140

  Weka kwenye tawi lolote la benki hizi nchini

  Changia kwa simu (SMS)

  Tuma neno:

  "SLAA" kwenda namba 15710
  "CHADEMA" kwenda namba 15710
  "NAJIUNGA" kwenda namba 15710

  Namba hizi ni kwa mitandao ya ZAIN, TIGO na VODA.

  Kuchangia kwa njia ya M-PESA

  0758 223344
  0764 776673

  ZAP 0789 555333

  Unaweza kuhakiki uhalali wa namba zao hapa:

  Tovuti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

  Tunategemea JF pekee watashawishi watu 1,000,000 katika siku hizi 42 zilizobaki zitakazompa Dr Slaa mtaji wa zaidi ya shilingi bilioni 10 pamoja na kumpa kura ya ushindi ya NDIYO.
   
 2. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  CHADEMA-M4C CRDB 0J080100600
  CHADEMA NMB 2266600140

  Hizi ni SWIFT/IBAN codes?
   
 3. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Mkuu, sina uhakika, nimetuma ujumbe kwao, baada ya muda tutapata jibu
   
 4. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kuna kundi kubwa sana la Watanzania waliopo ughaibuni ambao nao wangependa kuchangia katika harakati hizi za kuleta ukombozi wa Mtanzania. Wangependa kuchangia, na nadhani wengi wao wangependa kutumia bank transfers. Kwa hilo SWIFT/IBAN codes za bemki ambapo pesa zitatumwa ni muhimu ili kufanya hiyo transaction.
   
 5. K

  Kishazi JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Hadi kieleweke mwaka huu. Hatutaki uchawi, ushirikina, ufamilia, na usanii..!! Mungu na aiongoze Tanzania tuwe na kiongozi mcha Mungu asiyeabudu miungu mingine.
   
 6. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Restriction of foreign funding to election expenses

  12.-(1) No political party, Non-Governmental
  Organisation, Faith Based Organisation, Community Based
  Organisation, other body or institution or any member of such
  political party, Non-Governmental Organisation, Faith Based
  Election Expenses

  Organisation, Community Based Organisation, body or institution
  and no other person shall receive, bring or cause to be brought
  into the United Republic, any funds or anything which can be
  cashed or converted into funds which, on the ground of a donation
  or on other ground, is intended to be used or, in the discretion of
  such political party, Non-Governmental Organisation, Faith
  Based Organisation, Community Based Organisation, body,
  institution, member or other person, may be used to further the
  interest of any political party, own candidature or any other
  person who has been nominated or may be nominated as a
  candidate for any contested election.
  (2) The term “funds” as used in subsection (1) shall be
  construed to include:
  (a) money;
  (b) a motor vehicle;
  (c) an aircraft;
  (d) transportation;
  (e) T-shirts;
  (f) a flag;
  (g) printing, publication or distribution of leaflets,
  brochures or any other publications;
  (h) broadcasting, radio or television equipment;
  (i) provision of food or drinks;
  (j) promotional art groups; and
  (k) any other thing intended to be used for furtherance
  of election campaigns.

  (3) Except as provided for under the Political Parties Act,
  the restriction imposed by subsection (1) shall not apply to any
  funds received within, brought or caused to be brought into the
  United Republic during any period, in the case of-

  (a) the General Elections, ninety days before the
  election day; and
  (b) a by- election, thirty days before the election day.
  (4) Any political party, Non-Governmental
  Organization, Faith Based Organization, Community Based
  Organisation, other body or institution or any member of such
  political party, Non-Government Organisation, other body or
  institution and any other person who uses any fund referred to in
  Election Expenses subsection (1) contrary to the provisions of that subsection or fails
  to comply with any requirements or conditions stipulated in terms
  of that subsection (1), commits an offence.

  13.–(1) Any Non-Governmental Organisations, Faith
  Based Organisations or Community Based Organisations which,
  for the purpose of election, wishes to participate in any activity
  referred to in subsection (3) shall be required to disclose sources
  and the amount of funds that shall be used for that activity.
  Organisations
  to disclose
  sources of
  funds

  (2) Subject to subsection (1) Non-Governmental
  Organisations, Faith Based Organisations or Community Based
  Organisations shall not use more than the amount prescribed by
  the Minister in the regulations.

  (3) Without prejudice to subsection (1), all money of
  Non-Governmental Organisations, Faith Based Organisations or
  Community Based Organisations shall be used for purposes of -
  (a) advocacy;
  (b) public awareness,
  for furtherance of election campaigns.

  (4) Within ninety days after the election, Non-
  Governmental Organisations, Faith Based Organisations or
  Community Based Organisations referred to in subsection (1),
  shall furnish to the Registrar information in relation to expenses
  incurred for the election.

  (5) A Non-Governmental Organization, Faith Based
  Organization or Community Based Organization which
  contravenes the provisions of this section commits an offence and
  shall, upon conviction, be liable to a fine not less than shillings
  five million or to imprisonment for a term not exceeding three
  years or to both.
   
 7. TingTing

  TingTing Member

  #7
  Sep 20, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nadhani ni muhimu kwa Chadema kuwa na NGO yao ya chama mfano labda kama "Friends of Chadema" ambayo itahusika na miradi mbali mbali pamoja na kuwezesha wananchi katika sehemu ambazo zitakuwa zimechaguliwa kwa mwaka huo. Pia itahusika na kuchangisha fedha toka kwa watanzania waliopo ndani na nje ya nchi. Nafikiri hii itasaidia sana haswa katika kutovunja hii sheria ambayo CCM ndio walipitisha kujilinda. Pia itsaidia chama kujishugulisha zaidi na utendaji wake huku majukumu hayo mengine ya kuendeleza maeneo yakisimamiwa na hiyo NGO yao.
   
 8. B

  Bull JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2010
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ughaibuni Labda Vatican ndio wataichangia Chadema !!!!!!!!! sio mtu mwenye akili zake timamu!!
   
 9. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Mkuu swift codes za bank zote za Tanzania zinapatikana hapa: http://www.bot-tz.org/paymentsystem/tiss%20application%20form.pdf
  Sioni kama hizi fedha zina shida so far wachangiaji ni watanzania. Nafikiri kinachokatazwa hapa ni msaada kutoka kwenye mashirika au makampuni ya nje ya nchi.
  Wenye nia ya kutuma mchango watume tu, hakuna kisichowezekana.
  Pamoja tutaweza! Tukichangie chama chetu ili kishinde. Sisi hatuna pesa ya mafisadi, ukombozi wetu ni nguvu yetu wenyewe.
   
 10. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Mkuu nafikiri hiki kitu tayari kipo na hiyo akaunti ya CRDB, M4C ina maana movemnet for change, na ni akaunti ya hawa wanamtandao wanaomuunga mkono Dr Slaa wanaojiita Friends of Slaa au Marafiki wa Slaa. Unaweza kupata taarifa zaidi kupitia hapa: Friends of Slaa | FOS |
   
 11. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #11
  Sep 21, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Sio sawa. Wapo wengi tu ambao 'hawana akili timamu' ambao wanapenda kuleta mabadiliko kupitia Chadema.
   
Loading...