Elections 2010 Michango ya CHADEMA Updates: Wiki ya Kwanza ya Harambee: 11,569,000...

Natumaini mahesabu ya sms yatapatikana muda si mrefu. Once again.. keep the fire burning!
 
hapa kwetu michango pia inapita kuwawezesha wabunge wetu katika harakati hizi muhimu tumechangia .
 
Tutapunguza kwenye sadaka tuchangie... afterall ni mtumishi mwenzetu...:A S wink:
 
Nitatoa kupitia nmb, kiasi siri yangu na atakayenipelekea bank hawatamjua. Mashushushu kila kona kuharasi supporters.
 
Mwanakijiji kwa kuwa mdahalo unaonekana kuwa haukufanikiwa basi naomba mod ule mchango wangu niliotanguliza achangie chadema. Nitawasiliana na watu wengine walio changa ili niweze kujua kama naoa wanataka hiyo michango iende wapi?
 
Ile ya SMS nimeweka alarm angalau kwa wiki nitume tano mpaka mwisho wa kampeni tutakuwa tumepata ela ya mafuta ya kampeni na kughalimia shughuli za chama chetu
 
Kuna msg niliisoma kupitia facebook kwenye page ya John Mnyika. Kuna mdau mmoja alitoa suggestion kwamba CHADEMA waanzishe bahati nasibu kwa siku hizi zilizobaki kwa njia ya sms.
Wawe wanatoa screen 20, 21' kila siku kwa siku 20 ili kupata fedha za kutosha kuwalipa mawakala.

Ukifanya promo na wakaijtokeza watu 100,000 kucheza hiyo bahati nasibu kila siku na bei ya sms moja ni 350/= basi break down yake itakuwa hivi:
100,000*20*350 = 700,000,000/=
ambapo ukitoa gharama nyingine zote lazima watabaki na zaidi ya million 300 ambazo zitasaidia sana kwenye kulipa mawakala.

Hili wazo nalisupport 101% maana CHADEMA inawapenzi zaidi ya hao 100,000 naamini wanaweza kuhit billions! Wahasuki lifanyieni kazi hili wazo.
 
Bonge la idea! Tafadhali tunaomba lifanyiwe kazi hili!
 
Na mimi na familia yetu zile milioni 2 nilizotuma kwa njia ya voda pesa sijui mumezipata? Sio baada ya uchaguzi kuisha mujekutuambia majambazi yalivamia hazina ya chadema na kutoroka na pesa zote!!!

Hata kama mimi sio chadema lakini nadhani naruhusiwa kuchangia maana hata yule mhindi wa ccm si alichangia milioni 100?
Sisi huwa tunachangia chama chochote kinapoomba msaada lakini sharti fedha zionekane zinafanya kazi! Sio mtu kama mbowe anaedaiwa mamilioni ya mkopo wa benki azitumie fedha zetu kulipia madeni yake! Kwa kweli mutaturudishia fedha zetu kama mutazifisidi maana binaadamu yoyote anaasili ya uroho!!

Hayo yameshatokea ktk nchi zilizoingia ktk uchaguzi na kuleta uongozi mpya matokeo yake ufisadi uliongezeka maradufu! Mfano, kenya, zambia, senegal,malawi, ethiopia,eritrea, nk. Hivyo chadema sidhani kama nyinyi ni malaika muliotumwa toka mbinguni tutawaamini vipi kama nyinyi hamna mafisadi?

Kuweni makini na watu wa namna hii. Kwenye M Pesa kiwango cha juu kutuma kwa siku ni sh 500,000. Huyu anayesema ameweka sh milioni 2 ana lake jambo. anataka mwisho ionekane kuna pesa imeliwa na kutimiza dhamira yake ya kuonesha kuna ufisadi kwenye michango hii. Kuweni makini.
 
Kuna msg niliisoma kupitia facebook kwenye page ya John Mnyika. Kuna mdau mmoja alitoa suggestion kwamba CHADEMA waanzishe bahati nasibu kwa siku hizi zilizobaki kwa njia ya sms.
Wawe wanatoa screen 20, 21' kila siku kwa siku 20 ili kupata fedha za kutosha kuwalipa mawakala.

Ukifanya promo na wakaijtokeza watu 100,000 kucheza hiyo bahati nasibu kila siku na bei ya sms moja ni 350/= basi break down yake itakuwa hivi:
100,000*20*350 = 700,000,000/=
ambapo ukitoa gharama nyingine zote lazima watabaki na zaidi ya million 300 ambazo zitasaidia sana kwenye kulipa mawakala.

Hili wazo nalisupport 101% maana CHADEMA inawapenzi zaidi ya hao 100,000 naamini wanaweza kuhit billions! Wahasuki lifanyieni kazi hili wazo.

HIVI HATUWEZI KUTANGAZA KWENYE HII CLIP YA DR SLAA? WATU WENGI HAWAJAFIKIWA NA HII MANENO! KWENYE MITANDAO WACHACHE WANAFIKA....NA KAMA IKIUNGANISHWA NA DROO HATA chiciemu WATATUCHANGIA SANA TU.
 
I MEAN TUTANGAZE KWENYE TVz NA MAGAZETI RAFIKI NA YANAYOTUCHUKIA ILI TUWAFIKIE WENGI.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom