Michambo ya kijuso na mahusiano yetu

Vitalis Msungwite

Verified Member
May 11, 2014
2,114
2,000
MICHAMBO HII KATIKA KIJUSO NI YA WATU WALIOPEANA VIBUTI.
NANI KAMCHAMBA ZAIDI MWENZAKE

BY MSUNGWITE
Artist: Queen Darleen ft Rayvan
Song: kijuso

Verse 1

Ray:Unalinga kitu gani?,We mwenyewe ujisute!
Afadhari hata nyani,sio we mwanamke!
Hupendezi asilani,sio unyoe usuke
Nilifuata kitu gani,umefanya nijute!

Queen: mi nakuona punguani,na usikurupuke
Kwanza naongea na nani naomba,unikumbushe!
Mi nawe hatuendani,jipandishe jishushe
Usinipande kichwani,namba yangu ifute.

Kiitikio

Ray: hizo dharau mwanamke ulopata
Naona unasahau nyuzi zako nilikata

Queen: nimepanda dau mkataba nimekata
Tena nyang'au ndo ukome kunifuata
Msyuuuuuuuuu
Ray: unalinga una nini kijuso
Vijimeno kama jini gaucho
Queen: kwani nawe una nini? Kituko
Uso na kazi mjini upo upo!!

Kibwagizo

Ray: punguza kelele oh,(kelele)
Acha kelele mama
Queen: punguza kelele baba(kelele)
Acha kelele bwana(kelele)


Verse 2
Queen: Eti nawe unavimbaa,pafyum tu mtihani
Kwanza shati ulovaa,umeazima kwanani?
Wanifuataa,kapuku utanipa nini?
Nilikuachaa,leo kimekuwasha nini?

Ray: funga bakuli,mbele yangu we mshamba
Nakujua vizuri,toka enzi unavaa mabwanga!
Wakati unanuka moshi,huna hata ishu
Kwenye pochi,uwanja na tishu.

Queen: unapenda ganda la ndizi, kuteleza.
Wakati kupambana,mpaka mchuzi wa pweza
Dume zima tantala tantala, instagram inahuu.
Wakati kwenu kula kulala, huchangii hata kitunguu

Rudia kiitikio na kibwagizo

Mwisho

Waasaafiiiiii festival 25/12/2016

Kesho nitaimba nao pale samora stadium
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom