Michael Jackson

kaka watu wanafurahisha baraza hapa!siku ziende!
Hatumchukii sie!
Twampenda sema umaarufu ni mzigo
 

Hawa watu mkuu wanakera sana, Halafu Kina Kiba n'a AY wakioa nje ya nchi povu linawatoka,mwenzao anazidi kutusua wao wanaendelea kusugua kwa majungu yao
 
Hatumchukiii umaarufu shida Bak
 
Hearly nakojooooooaaaaaaaaaaaaaa
 
dah wabongo noma,hadi anatia huruma huyo mdada,mmama,..
 
Ngoma kama hii ukitoka nayo auti kabidhi simu la wallet; bakia na hela ya kutumia tu uliyopanga, jinsi, tishet, sando na boxer maana ni vita
Nakunyaaaaaaaaaaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…