Michael Jackson

Sasa watoto 5 lakini mnalazimisha awe msichana!
Age imekwenda kwa mwanamke.

Atulie tu ale alale na wanaye.

Japokuwa kakoleza na Make up lakini sura yajionesha live kama kazeeka.
Kuna watu walikuwa wanataka kutuaminisha eti mzuri sana pamoja na kuzaa timu ya basket,kumbe zile picha zinaeditiwa
 
Ukiamua kuweka maisha yako in public ukubali yatazamwe in 3D.
 
Umesema kweli somo inaumiza sana.
 
Kuna watu walikuwa wanataka kutuaminisha eti mzuri sana pamoja na kuzaa timu ya basket,kumbe zile picha zinaeditiwa
Usidanganywe na maneno na picha za ajabu za mitandaoni.
Huyu kama zisingekuwa pesa, saizi angekuwa bi Chau.
Achana na blaa blaa za mitandaoni.
Weka uhalisia.

Watu wanamsifia kwa kuwa kuna teams zinazoshindana.
 
Hajapishana sana na Bi Sandra
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…