Habari jamani. Ninaandika ujumbe huu kwa kuomba msaada. Mtanzania mwenzetu amefariki in Madison Wisconsin-USA, wanatafutwa ndugu zake. Ni mtu wa Tanga Michael Agustine Lukindo. Alikuja USA miaka mingi iliyopita, inasemekana zaidi ya mika thelathini. Ameacha mke (African American) na watoto wanne, mkubwa alizaliwa 1989 familia yake haijui ndugu za Michael. Mazishi yatafanyika Jumamosi, ila mwili utachomwa. Kama unafununu au kujua lolote kuhusiana na ndugu yetu huyu unijulishe. Lengo nikuweza kuwafahamisha ndugu zake nyumbani Tanzania. Asante kwa ushirikiano wako.
Dah!
Ina maana jamaa hakuwa kabisa na mawasiliano au mahusiano na ndugu au jamaa yeyote yule Tanzania?
Mr president umeshindwa kuwajua wabeba wa WI?
Huyu hakuwahi kujiandikisha kwenye daftari. Trust me, nimelipitia tena daftari na jina lake halipo kabisa.
Mkuu huko nje wanachoma sio sababu ya Imani, pia sababu ya gharama na sehemu za kuzika hakuna, burial places zinakuwa na gharama kwahio hata ukiwa mkristu unajikuta unachomwa na ndugu kuchukua majivu for remembrance.Acha achomwe kama baniani.
Nyie mkifika huko hata mungu hamumjui.Maana inaonekana hataKanisani alikuwa ahudhurii.
Maana mie najua makanisa mengi ya huko waumini wake wanafahamika na ni rahisi kuzikw Kiimani.
Anachomwa hapa na Mungu anamsubir,atajua Faid ya kula bta na kumsaha Mungu.
You are absolutely right, mkuu.May all beings attain enlightenment.
Mnajua kama alitaka ndugu zake wajulishwe au mna assume assume tu kibongobongo?
Mtu kakaa kiwanja mvua thelathini, pengine alichotaka ni ndugu zake wasijulishwe.
. May all beings attain enlightenment.
Silly.............
Mkuu kuna tangazo limekuja hapa foreign affairs kutafuta ndugu toka kwa mkewe ni serious watanzania wa mbele wanatia aibu
Labda anataka kuwapatia sehemu ya majivu baada ya cremationNdivyo alivyotaka hivyo mwenyewe?
Watu wengine wanagombana na familia zao wanajitia nchi za watu mahsusi ili kukata link zozote na ndugu zao, angalieni msije kuwa mnafikiri mnasaidia kumbe mna violate wishes za marehemu.
Aliacha will? Kama ipo inasemaje? Kama haipo sababu zinazomfanya huyu mkewe awatafute ndugu zake ni nini?
Kuna hela ya life insurance anataka kuwagawaia? Kuna majivu ya marehemu anataka kuwagawia? Anataka wanawe wajuane na ndugu wengine wa Tanzania?
Mtu kakaa miaka thelarhini hana habari na ndugu zake Tanzania, leo kafariki rationale ya kutafuta ndugu ni nini?
Silly.............
Labda anataka kuwapatia sehemu ya majivu baada ya cremation