Mibaba ya jf ina tabia mbaya

Asante sana Mkuu, not enough hebu ifuatilie hiyo namba tatu halafu unambie vizuri.

LD;

Respect sana Mkuu.

Afadhali wewe tunakuamini sana hapa JF hasa baada ya kukiumbua kile Kibabu.

Respect Madame.
 
Tumemwomba Maxence awatengee jukwaa lao la mambo ya Dating ili mambo yote wayamalizie huko.

Hope this might be possible.

allien,
u make me laugh enough, maana ni kama unatoa (da'wa) ya kukomesha mambo kama haya.
 
Respect mkuu. Kwa kuongezea point yako: The person seeking relief must not himself/herself guilty of illegal or immoral conduct with regard to the same act which would disentitle him/her to any assistance of JF members. Whoever seeking help must come with clean hands.

Respect

Mkuu wetu wa Kitengo cha sheria;

Umeniumiza mbavu saaana.

Tuendelee kuelimishana tu Kiongozi.

Respect.
 
allien,
u make me laugh enough, maana ni kama unatoa (da'wa) ya kukomesha mambo kama haya.

Mkuu; nadhani itafaa sana kuboresha jukwaa letu.

Ukiangalia karibu kila siku kuna thread ya ama mtu kutafuta mume, au mke, au mtu wa kuzaa naye nk. Japokuwa yanafit katika jukwaa la mahusiano, lakini kwa mwendo huu, inabidi wawe na sehemu ya kutongozana.

Respect.
 
kweli jf ni zaidi ya uijuavyo..kuna watu wamekuja hapa kutafuta wake/waume i like this new level of openness kwenye society yetu kwa kweli.
 
Brilliant.
 
Brilliant.

One page Mkuu.

Hebu mfano angalia huyu NOT ENOUGH anavyowachezea watu in black and white, halafu fanya analysis yako mwenyewe:

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22 nimemaliza chuo na nina ishi na wazazi wangu. Nina boy friend wangu anaishi mbali kidogo na nyumbani. Kila siku lazima tuonane na lazima anilambe kinyume na hapo ni ugomvi. Akipitisha siku napata shida sana inabidi nitafute mbadala ili niweze kulala. Boy friend wangu analalamika sana na anatishia kuniacha. Mie nampenda sana na sitaki aniache.

Kama kuna dawa jamani ya kuweza kunituliza masham sham yangu mnisaidie.

Then:

Mimi naishi na wazazi wangu hivyo muda wa kumegwa naona kama hautoshi. Huwa napenda kila siku nifanye mapenzi hiyo ndo hobby yangu.

Sifa za mume.

1. Awe na uume mkubwa na mrefu ili nitosheke
2. Awe na uwezo wa kunipiga angalau bao 2 (kama mgonjwa nitavumilia)
3. Asiwe na kipato kikubwa kwani hao wanasumbua, wanakua busy atasababisha nitoke nje ya ndoa.
4. Akubali tuwe tunaishi wenyewe tu kwani huwa nina makelele sana wakati wa kufanya mapenzi.

Mimi nimesoma hivyo naamini nitapata kazi nzuri na tuta enjoy maisha na mume wangu

Karibu

And finally:

Jamani mwenzenu yamenikuta ya kunikuta, nilikuwa mgonjwa jana siku nzima sikuweza kwenda kokote pressure ilikuwa juu.

Mr wangu alivyo ondoka nyumbani juzi tarehe 14 asubuhi hakurudi tena mpaka jana jioni. Imeniuma sana sababu hajanipa sababu zozote za msingi kwanini hakurudi nyumbani.

Niko kwenye maamuzi magumu nataka nimchukuwe mtoto wangu nikatafute kwa kuishi.

kweli jf ni zaidi ya uijuavyo..kuna watu wamekuja hapa kutafuta wake/waume i like this new level of openness kwenye society yetu kwa kweli.

Kabisa mkuu. Tofauti na zamani siku hizi unakuta mtu anajiunga na JF na post yake ya kwanza ni ya kutafuta mke/mume. Japokuwa JF is User Generated Content site labda hapo juu kuwe na bango kuuubwa kuwa JF is not a dating site.
 
One page Mkuu.

Hebu mfano angalia huyu NOT ENOUGH anavyowachezea watu in black and white, halafu fanya analysis yako mwenyewe:

Then:

And finally:

Mkuu usisahau na hii

Mibaba bana inabore sana, mnakaa wiki mbili hamjala ngono siku likinywa vibia vyake uko linakuja linapanda dakika moja kwisha na lina anza kukoroma. Lakini linajifanya mtu wa madeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeemu huko nje. Ni aibu tu mnapeleka huko nje unafuata visichana vimezoea dozi kubwa wewe unaenda kupiga kabao kako kamoja na kunza kuhema na kujamba jamba ovyo.

Ni hela tu wanawachukulia hakuna dozi yoyote unayotoa, kama wewe kidume si uonyeshe udume wako nyumbani kwanza? Saa nyingine si kwamba tunaona wivu unatembea nje ila ni jinsi gani unaenda kutia aibu huko nje na vibao vyako visivyo na TIJA.
 
OMG !
Huyu NOT ENOUGH ! Thanks guys for exposing her scam, why are you hatin on PM's while u had such controversial posts ?
 
One page Mkuu.

Hebu mfano angalia huyu NOT ENOUGH anavyowachezea watu in black and white, halafu fanya analysis yako mwenyewe:

Then:

And finally:

BIG UP Allien kwa kwenda kuzileta hizi sredi!!!....:clap2: Kuna watu wana mambo jamani..mhhhh!!!!!
 
sasa mm ninakutokea hapa na kwny PM ninaku2mia ya kukutongoza wewe mzush sema hujapokea PM ya kutongozwa siku nyng unajitai mijibaba sasa mm ninakutokea huko huko kwny PM yako sawa jimama
 
LD;

Respect sana Mkuu.

Afadhali wewe tunakuamini sana hapa JF hasa baada ya kukiumbua kile Kibabu.

Respect Madame.

Daaa mkuu unakumbumbuku sana eeh!! Ngoja niache usije ukaanza ku conect dots bureeee!!
 
Haya sasa...yaleyaleeeee!
Nashindwa kuwaelewa nyie AKINA dada...kuna mmoja alidai kwanini hapati PM kwa muda mrefu kwenye inbox yake, hadi anajisikia vibaya!
Weye unakuja na gia ingine...huh!
Kwani kuapproach ni vibaya jamani?...Si ni kujenga mahusianmo ambayo huenda baadaye yakawa positive?
Nadhani tusiogope PM, sisi ni watu wazima, tuna utashi...Once ukiona hakufai unampa live, na siyo kutunga threads...!
Sasa wa mtaani kwenu wasioijua JF unawasemelea kwa nani?...Usije ukawakimbia 'sweetheart' watarajiwa bana...kuna watu serious hapa!

Bila shaka atawasemelea kwa mama.
 
OMG !
Huyu NOT ENOUGH ! Thanks guys for exposing her scam, why are you hatin on PM's while u had such controversial posts ?

Seriously she is a scam. Mods have to do something. Halafu nina wasiwasi nae kama ni mwanamke.
 
Daaa mkuu unakumbumbuku sana eeh!! Ngoja niache usije ukaanza ku conect dots bureeee!!

LD; you are a nice gal with good Intelligence. I am honestly telling you from your threads and posts, kila mtu anajua unasimamia nini.

We pray God leads you to your dream destination.

Keep it up gal.

Respect.
 
Seriously she is a scam. Mods have to do something. Halafu nina wasiwasi nae kama ni mwanamke.

Mkuu; ngoja tumwelimishe kwanza. Of course asipobadilika, sheria ziko wazi na Segerea si mbali. Mods wapo.

Ataanza na ID mpya.

Respect.
 
Back
Top Bottom