Miayo Hii!!

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Hivi hii Miayo ambayo tunapiga hadi michozi inatutoka chanzo chake nini hasa?? Na kwa nini michozi itutiririke kama tumefiwa au tuna furaha wakati sivyo??
 
Pole.........! Huna zongo lakini?

Miayo ni sehemu ya mwili kuji aclamatize na situations ulipokuwa. Hata kama una usingizi. Miayo ina kutayarisha kulala. Ukiwa na njaa, Miayo inakuarifu ukale..

Usikerekeke na miayo Kigarama. Mwili wako una kujulisha kuwa upo TIP TOP.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom