Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,339
- 1,493
Habari Tanzania !
Naomba kuwapa changamoto Bank of Tanzania (BOT), Commercial Banks; Taasisi zote ndogo za fedha na Mitandao ya simu inayofanya miamala ya kifedha nchini.
Kwanini pasiwepo na huduma ya kufanya miamala ya fedha za kigeni kwa njia ya mtandao ya simu, ili iwe fursa kwa Mtu au Watu wenye nia ya kuwekeza Fedha za kigeni ndani ya simu/ Kadi zao.
Maana kwa sasa kuna huduma nyingi sana kuhusu fedha za kigeni kwa Commercial Banks; ila hizi taasisi ndogo za kifedha na Mitandao ya simu wao hawana hii huduma kwa nini?
Pia, uwepo wa hii huduma itachochea ukuaji wa kiuchumi wa moja kwa moja kwa Vijana, Wafanyabiashara na wale wote wenye nia ya Uwekezaji hapa nchini.
NB
Hakutakuwa na athari zozote zile za kiuchumi kwa kutumia hii njia hakika.
Karibu.