Malaika Gabrieli
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 3,280
- 6,101
Happy new year in advance 🎉
Hakuna shida.🤣🤣napigania nafasi siwezi kuona aibu ndo kwanza ntazdsha kumuonyesha upendo mbna
Aisee.Sijawahi funga....nipoteze fursa kwa ajili ya nini?
Kabisa 100% .....karibu ujitwalie singlemom😉Aisee.
Moyo wako uko wazi?
Ngoja Valentina wangu aje kwanza.Kabisa 100% .....karibu ujitwalie singlemom😉
🤣🤣 utani tu mkuuHakuna shida.
Nina Miaka kumi nae hapa.
I mean alivyojoin akaniambia na mimi ni join.
Nakushauri kama unampenda sana, ungesuburia tuachane.
Japo unaweza kusubiria sana
Usijali....nimejiweka pending.... Mambo mazuri huhitaji subiraNgoja Valentina wangu aje kwanza.
Uko pending...my future heart beat.
Umeuaaa....🤣🤣 utani tu mkuu
lakini akinipa siachiiii na sivungiiii mm ni kijana wa hovyoo
🤣🤣nawaombea mtengane nichukue jiko maan toka niko jf sijawahi kuambiwa i love you na yyte huyu ndo atakua wa kwanza ushaachwa weweUmeuaaa....
Anyway unajua penzi letu lilikuwa dormant sana hapa mjengoni. Japo tulishapendana sana.
Na sijawahi kudate na yeyote zaidi yake.
Anyway kuna mtu hapa Hisia zangu zinataka kumdondokea.
huyu Vale wangu, aje aseme kama tumetengana au lah!
Haswaaa!!Usijali....nimejiweka pending.... Mambo mazuri huhitaji subira
😂😂sawasawa,hii imeenda mkuuHaswaaa!!
Nimekumezea mate siku nyingi sana.
Na hata mwandiko wako ni mwaa 😍
Ndio hivyo, tushazeeka aje aseme mwenyewe kama anapenda dogodogo...🤣🤣nawaombea mtengane nichukue jiko maan toka niko jf sijawahi kuambiwa i love you na yyte huyu ndo atakua wa kwanza ushaachwa wewe
Penzi letu litawaka kuliko jua.😂😂sawasawa,hii imeenda mkuu
Hongera ya miaka 10 ya kuwa JF.Hello mabibi na mabwana, natumai mko vyedi kabisa.
Ikiwa imebaki masaa machache tupindue mwaka napenda kushuru kama ifuatavyo kwa jinsi platform hii ilivokua msaada mkubwa sana kwangu.
Kipekee kabisa nianze kumshukuru mwenyezi Mungu kwa wingi na fadhila zake kwangu/kwetu.
Ashukuriwe zaidi kwa wazo/ubunifu aliouweka ndani ya mwanzilishi wa platform hii Maxence Melo kwani ni mtandao umekua msaada mkubwa sana kwetu katika kuelimika, kuburudika, kupata connection mbalimbali na kubwa zaidi marafiki wema.
Nikizungumzia marafiki wema kwa upande wangu nimefaidika nao mno mno mno wana mchango mkubwa sana katika kubadilisha maisha yangu from nothing to something.
Katika nyakati hizi mabaya yanaongezeka lakini marafiki wema bado wapo. Wakati najiunga jf sikua mtu mwenye mtazamo chanya kama nilivo sasa kifupi I was nothing na ukizingatia ni std7 ndo kabisaaa sikua naona mambo vile nionavo kwasasa.
Ni mara nyingi tumeona mada negative humu kua JF ni kichaka, JF sio pakuaminika, JF this, JF that n.k, la sio kweli jamani.
JF itakupatia kile unachokitaka, ukitaka mazuri itakupa mazuri inategemea tu na vile wewe unatakaje.
Wakati nimejiunga jf nilipokelewa na watu wastarabu na makini, Arusha wing, baadi yao ni kina Preta marejesho Filipo Arusha One.... Team hii bado nawapenda sana na asanteni kwa wema wenu kwangu.
JF imenipa marafiki wengi na wenye impact positive kwangu baadhi yao ni Nyani Ngabu Kambaku Kisambo Luv Nkanini.
List ni ndefu wengine spelling za I'd zenu zinanichenga mnisamehe bure ila jueni tu mmeweka alama nzuri sana maishani mwangu, na ninawaombea mema siku zote na Mungu awabariki mno.
Funzo nililolipata; usimdharau mtu wa mtandaoni hata siku moja. Yaani kwakuwa tunatumia id fake haitupi nguvu kuwa tuwe huru ku treat mtu in negative way. Huwezi jua mtu huyo ni daraja la wewe kuendea hatma yako.
Happy new year in advance.
2024 ukawe mwaka wa mafanikio, tukaongezeke kiuchumi, upendo na mshikamano.
Hongera sana mkuuHello mabibi na mabwana, natumai mko vyedi kabisa.

Mbona kama tumemaliza pamojaHello mabibi na mabwana, natumai mko vyedi kabisa.

Hv ilikua ni kama group?Arusha wing