mtaalamu nipatie kizizi anieleweMmmh...!![]()
![]()
![]()
hahaa kama usiku autafaa inabidi tuende milimani kabisa.Aaamen ila hiyo username na huo mtazamo wa ya kwamba maombi ya usiku ndio yanafika kutokana na utulivu...! Mmh![]()
![]()
![]()
ivi wanaojiita manabii wanaouza vitamba, maji,mafuta nk navyo sio sampuli ya vizizi.Duu kumbe zile halelujah na Aaamen ndio tamati yake hii![]()
![]()
![]()
![]()
ina maana zile sio nguvu za Mungu!?Sio manabii wa Mungu ni manabii wa ulozi
Uharibifu mkubwa hutokea mara moja tu... Ukimaliza umemaliza labda uwe na laana za ukooMkuu na je mfano mtu yupo katika nyakati za uharibifu then wakati wa neema ukamjia je kuna uwezekano wa yeye kudumu kwenye neema alafu uharibifu ukamjia tena baadae?? Au anapita nyakat za neema then zikaja nyakat za uharibifu je nyakati za neema zinaweza kumjia tena and vise versa?
Leo nimegundua Mshana Jr una karama nyingi ambazo kupitia JF zinazidi kufunuliwa. Kuna nyakati huwa tunahitaji sana maneno ya kutubariki kama haya, hongera mkuu Mshana Jr



Ndiyo maana nikasema kalama, ziko zaidi ya moja.Kwahiyo haijalishi kwamba kuna kundi halifurahishwi na hizo topic zake za kutisha kuhusu uchawi na uganga wake lakini haiondoi kipawa chake. Hiki cha leo ni kipya ndiyo maana nikasema Mshana Jr ana karama nyingi ikiwepo na hii mpya ambazo zinazidi kuonekana kupitia JFLol!! Akiongea zile topic za kutisha mnamwita mganga wa kienyeji, hii kagusa center ya kila mtu, full Karama kutoka mbinguni![]()