Miaka ya neema, miaka ya uharibifu

Miaka ya neema, miaka ya uharibifu

... Lakini wakati wa bahati huwapata wote pamoja...! Ndio maana kuna neno linasema tutakombolewa kwa neema tuu

Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote.

Wakati na bahati ---hapa imewekwa vizuri kwenye hii Biblia.
 
Ooh ok ok imekaa vizuri zaidi WAKATI na BAHATI huwapata wote! Bila kujali vipawa vyao! Bila kujali vipaji vyao, nguvu zao, werevu wao, akili zao..! Hekima zao
 
Shukrani Mshana Jr hili somo jipya kwangu nilikuwa sina idea kabsaa ya mambo uliyoyazungumza.

Utofauti kati ya kulogwa na nyakati ya uharibifu ni IPI??
 
Kurogwa ni matendo ya binadamu, nyakati za uharibifu na nyakati za neema ni matendo ya kiroho yasiyoongozwa na matokeo ya matendo ya binadamu
 
Nimekuelewa my point is....
Nyakati za uharibu huwa unapitia changamoto nyingi hasara, ajali, kukosa kazi nk

Sasa mtu anawezaje kutofautisha hizo nyakati na kulogwa??? Wakati gani anaweza kujua huu Ni wakati wa uharibifu na huku ni kulogwa.
 
Tunaishi kwenye ulimwengu wa changamoto... Kwa akili za kibinadamu ni ngumu kujua lakini hata hivyo linapotokea unasimama na Mungu tu bila kutafuta mbadala wa nguvu za giza...
Kila jaribu lina mlango wa kutokea na kamwe Mungu hakupi jaribu zaidi ya uwezo wako wa kuhimili... Cha muhimu ni kusimama naye katika nyakati zote shida na raha... Huku ukijua fika kuwa HILI NALO LITAPITA....!
Vile vile kila ukishinda changamoto moja jua ni maandalizi ya nyingine
 
Shukrani sana.
 
Back
Top Bottom