Asante sana mkuu kwa kunitia moyo,maana nipo ktk kipindi kigumu cha uharibifu,mada yako imenipa ujasiri kuwa"Hili nalo litapita"Aaamen....!
ohoo haleluya, hakika bwana amenifunulia maono wewe utakuwa mwokozi wangu katiika hili pengo la upendo na upweke..Oooh,hallelujah,.
Praiseeeee the Looord,.ohoo haleluya, hakika bwana amenifunulia maono wewe utakuwa mwokozi wangu katiika hili pengo la upendo na upweke..

Aaamen ila hiyo username na huo mtazamo wa ya kwamba maombi ya usiku ndio yanafika kutokana na utulivu...! Mmhbwana anasema wakusanyikapo wawili au watatu mimi nipo pamoja nao,muda wa usiku ndio mzuri maana kuna utulivu hata maombi yanafika.

Asante sana napokea kwa unyenyekevu mkuu barikiwa zaidiHata kwa bandle la mkopo, ni lazima niingie JF coz siku zote kuna vitu vingi najifunza humu kupitia maisha ya watu, busara/ hekuma za watu (akiwemo Mshana Jr), story , nk.
Uzidi kubarikiwa zaidi brother.
Aaamen usiache kutumia chumvi hasa ya mabonge ni chaja muhimu sana kinga za kiroho zinaposhuka... Yaani kipindi cha uharibifuAsante sana mkuu kwa kunitia moyo,maana nipo ktk kipindi kigumu cha uharibifu,mada yako imenipa ujasiri kuwa"Hili nalo litapita"
Uzi umesheeni nyama nyingi sana huu hakuna hata mfupa
Asante sana amu, napokea kwa unyenyekevu mkuuMshana nakupenda sana,kila siku unawatia watu moyo,huu ujumbe nauhakika kuna watu watakuwa imani zao zimeinuka na kuona mwanga wa tochi umewamulika katika maisha yao,tunawahitaji watu kama 5 hivi jamvini hapa wenye maandishi kama yako,ubarikiwe sana.
Asante sana. Kama inanihusu vile!!? Kilangila.Napokea kwa unyenyekevu mkuu
Hebu turudi kwa mdogo wetu Lulu... Historia yake ya udogoni haifahamiki sana mpaka alipokutana na Kanumba na kutokea yote yaliyotokea!Hii Dunia kuna vingi sana hatuvijui.