Yatapita mkuuNimesoma tena hii nyuzi nikiwa katika wakati mgumu japo sio sana. Nimefarijika.
[emoji1019] Rip my mentorHakika Munga Tehenan alitufunza mengi. Kupitia mafunzo yake tulijitambua. Munga nilimlilia mwaka huo 2008 alipofariki tarehe 05 Mei.
Nakumbuka gazeti lake la Jitambue. Ulale pema marehemu Munga Tehenan.
Inasaidia sana watu hasa kwa hizi nyakat mkuu[emoji15][emoji848]
kwenye huu ulimwengu uliopoteza ethics, ni mapema mno kumpongeza