Nitakuwa na nafasi ya kutosha, usijaliBuji fanya maarifa keshokutwa tuonane tukule nyama choma mnadani pamoja na mayai ya kuchoma ya mbuzi
Huu mstari umenikamilishia mada.La mwisho na la muhimu sana... Miaka ya uharibifu haitokei kwa mtu mmoja mmoja tu bali hata katika familia, ukoo mpaka Taifa...
Mumu umenifurahisha sio siri.Ameeen,.maisha yana mengi yakujifunza saana sana ni kutambua tuu kuwa kila jambo na majira yake chini ya jua,.ukijua hili hata wakati wa msiba unaweza tabasam ukijua kuna wakati upo nao nitacheka kicheko,..
"Neno moja nalitaka toka kwa Bwana,nalo ni hili;nikae nyumbani mwake siku zote za maisha yangu"
AmeeenMumu umenifurahisha sio siri.
Ubarikiwe.
tubarikiwe sote.Mshana Jr naomba unijuze hiyo dawa ya chumviHata usiku uwe mrefu kiasi gani KUTAPAMBAZUKA!