Ukiajiriwa na Mchina, siyo tu huwezi kupiga hatua ya maendeleo, bali huwezi kutimiza hata zile obligations zako za kila siku.Nimefanya research fupi karibia watu wote ninaowafahamu waliofanya kazi kwa mchina ni masikini wa kutupwa miaka nenda rudi!!
😂😂😂Wameivuruga zambia,zambia ya Mzungu ilikuwa tamu ajira tele tena pesa nzuri ukimaliza mkataba mtaji tosha uhitaji ajira.
Saa hizi wanaishambulia Congo,awajui lugha lakini wanaujasili wa kupenya popote hata porini unawakuta wanasaka pesa.
Wanapewa pesa na nchi yao wanasaini lazima pesa irudi na faida au urudi maiti usiporudi na pesa.
Bora muhindi kuliko mchina,mchina aawmini kama wengine ni watuNimefanya research fupi karibia watu wote ninaowafahamu waliofanya kazi kwa mchina ni masikini wa kutupwa miaka nenda rudi!!
Kuna siku nilikuwa na ongea na mtu mmoja mkubwa alie kuwa akishabikia sana wachina na kukuwa kwa dola ya wachina kitu nilimwambia na hiki umekiandika nikama mimi na wewe tumewahi kitana na tukapanga hii story.Miaka ya katibuni, baadhi ya watanzania na waafrika kwa ujumla, wameweehukia mikopo ya kutoka Chima. Tna wengine kufikia kuwadharau wahisani na wakopeshaji wetu wa asili ambao ni mataifa ya Ulaya na America.
Kwa ujinga tu, wengine wakafikia kuwaita hawa watoaji misaada na wakopeshaji wetu wa asili, yaani nchi za Ulaya na America, kuwa ni mabeberu wanaopora rasilimali za Afrika, na huku wakiongezea kuwa wamempata rafiki mpya, mwenye mapenzi mema na Afrika, Mchina.
Pamoja na Afrika kuelemewa na madeni makubwa toka nchi za Ulaya na America, haikuwahi kutokea wakopeshaji hao kuchukua vitega uchumi vya nchi mdaiwa, kama viwanja vya ndege au bandari, hata mara moja, kama anavyofanya Mchina.
Nadhani,memesikia, Airport ya Uganda imechukuliwa na wachina kwa sababu Uganda imeshindwa kulipa deni kwa wakati. Bandari ya Mombasa inanyemelewa kwa sababu hizo hizo. Airport na Shirika la umeme Zambia, vipo mbioni kuchukuliwa. Bandari ya Gambia imechukuliwa kwa sababu hizo hizo.
Hivi China, inapochukua vyanzo hivyo vikubwa vya mapato vya mataifa haya maskini, huo ndio upendo wao kwa Afrika au ni mbinu ya kuididimiza Afrika?
China inanufaika sana kutoka Afrika kuliko nchi za Afrika zinavyonufaishwa na China. Afrika limekuwa ndiyo soko kubwa la bidhaa zake duni na zisizo na ubora. Haijaridhika na hayo yote, sasa wanataka kuja moja kwa moja na kubeba hata kile kidogo ambacho nchi za Afrika inacho.
Kwangu mimi, China inaitumbukiza kwenye umaskini mkubwa Afrika kwa bidhaa zake duni. Waafrika kwa sababu ya umaskini, wanalazimika kununua bidha hizi duni za China ambazo ni aghali sana. Nasema ni aghali sana, kwa sababu, ukinunua kiatu toka China cha shilingi laki 1 kinadumu miezi 6, ukinunua kiatu toka Italy sh laki 2, kinadumu miaka 6, kipi ni aghali zaidi? Kiatu cha China kinachodumu miezi sita ni sawa unatumia sh 100,000÷6 kwa mwezi. Ina maana kila mwezi imekugharimu zaidi ya sh 16,000. Cha Italy, kilichodumu miaka 6 (miezi 72) ina maana kila mwezi imekugharimu 200,000÷72, sawa na sh 2,777. Na hiyo ipo kwenye magari, jenereta za umeme, na kila aina ya machine.
Bidhaa za China ni bei nafuu wakati unanunua, ukienda kwenye matumizi, bidhaa za China ni aghali sana.
Kama una kiwanda au shughuli yako inayotumia mashine mbalimbali, na unataka kufanya shughuli zako kwa uhakika, ziepuke sana bidhaa za China. Utafilisika, huku wachina wakitajirika bila ya kukuonea huruma.
Ukoloni wa Mchina utakuwa mbaya zaidi kuzidi hata biashara ya utumwa iliyofanywa na mwarabu. Mataifa ya Afrika yajihadhari sana Mchina. China inaiona Afrika kama ndilo bara litakaloifanya ibadilishe maisha ya wananchi wake, ambao wengi wapo kwenye umaskini mkubwa.
Kwani imeshajengwa?Kwahiyo bandari ya bagamoyo ni ya mzungu ama mchina?
Mwaka 2019 Rais wa China kwenye mkutano wa Chama Cha CCP aliwahi kusema 'Now it is time to go in Africa' huo ni mkakati wa kulichukua bara lite la Africa Nashangaa hata wanaoshabikia bandari ya Bwaga moyo ijengwe na hawa watu wenye macho madogo,siyo maneno yangu ni maneno ya Mme wake na queen Elizabeth aliyesema hayo akimnong'oneza mke wake bahat mbaya wakamnasaMiaka ya katibuni, baadhi ya watanzania na waafrika kwa ujumla, wameweehukia mikopo ya kutoka Chima. Tna wengine kufikia kuwadharau wahisani na wakopeshaji wetu wa asili ambao ni mataifa ya Ulaya na America.
Kwa ujinga tu, wengine wakafikia kuwaita hawa watoaji misaada na wakopeshaji wetu wa asili, yaani nchi za Ulaya na America, kuwa ni mabeberu wanaopora rasilimali za Afrika, na huku wakiongezea kuwa wamempata rafiki mpya, mwenye mapenzi mema na Afrika, Mchina.
Pamoja na Afrika kuelemewa na madeni makubwa toka nchi za Ulaya na America, haikuwahi kutokea wakopeshaji hao kuchukua vitega uchumi vya nchi mdaiwa, kama viwanja vya ndege au bandari, hata mara moja, kama anavyofanya Mchina.
Nadhani,memesikia, Airport ya Uganda imechukuliwa na wachina kwa sababu Uganda imeshindwa kulipa deni kwa wakati. Bandari ya Mombasa inanyemelewa kwa sababu hizo hizo. Airport na Shirika la umeme Zambia, vipo mbioni kuchukuliwa. Bandari ya Gambia imechukuliwa kwa sababu hizo hizo.
Hivi China, inapochukua vyanzo hivyo vikubwa vya mapato vya mataifa haya maskini, huo ndio upendo wao kwa Afrika au ni mbinu ya kuididimiza Afrika?
China inanufaika sana kutoka Afrika kuliko nchi za Afrika zinavyonufaishwa na China. Afrika limekuwa ndiyo soko kubwa la bidhaa zake duni na zisizo na ubora. Haijaridhika na hayo yote, sasa wanataka kuja moja kwa moja na kubeba hata kile kidogo ambacho nchi za Afrika inacho.
Kwangu mimi, China inaitumbukiza kwenye umaskini mkubwa Afrika kwa bidhaa zake duni. Waafrika kwa sababu ya umaskini, wanalazimika kununua bidha hizi duni za China ambazo ni aghali sana. Nasema ni aghali sana, kwa sababu, ukinunua kiatu toka China cha shilingi laki 1 kinadumu miezi 6, ukinunua kiatu toka Italy sh laki 2, kinadumu miaka 6, kipi ni aghali zaidi? Kiatu cha China kinachodumu miezi sita ni sawa unatumia sh 100,000÷6 kwa mwezi. Ina maana kila mwezi imekugharimu zaidi ya sh 16,000. Cha Italy, kilichodumu miaka 6 (miezi 72) ina maana kila mwezi imekugharimu 200,000÷72, sawa na sh 2,777. Na hiyo ipo kwenye magari, jenereta za umeme, na kila aina ya machine.
Bidhaa za China ni bei nafuu wakati unanunua, ukienda kwenye matumizi, bidhaa za China ni aghali sana.
Kama una kiwanda au shughuli yako inayotumia mashine mbalimbali, na unataka kufanya shughuli zako kwa uhakika, ziepuke sana bidhaa za China. Utafilisika, huku wachina wakitajirika bila ya kukuonea huruma.
Ukoloni wa Mchina utakuwa mbaya zaidi kuzidi hata biashara ya utumwa iliyofanywa na mwarabu. Mataifa ya Afrika yajihadhari sana Mchina. China inaiona Afrika kama ndilo bara litakaloifanya ibadilishe maisha ya wananchi wake, ambao wengi wapo kwenye umaskini mkubwa.
Wanasema mwenzako akinyolewa, wewe tia maji.Kwahiyo bandari ya bagamoyo ni ya mzungu ama mchina?
Umenena kuna siku ndugai kapokelewa china na msafara plus watoto wazuri wa kichina yaani mapokezi ya vip, nadhani ajenda nyuma yake awatetee Bandari ya bagamoyo ipite, wachina wanajua Sana kuwamangungo watawala wa kiafrica yaani wanashangazwa wakienda china kusaini mikataba.Viongozi wengi wa Africa ni wajinga sn ndiyo maana China inajua kucheza nao
Wanasema mwenzako akinyolewa, wewe tia maji.
Mkataba wa bandari ya Bagamoyo utazamwe kwa umakini mkubwa. Tahadhari kubwa ichukuliwe, tukitambua kuwa tuna-deal na partner mjanja. Tukikosea tu, imekula kwetu.
Vitu ambavyo tunatakiwa kuviweka wazi ni:
1) si zaidi ya idadi gani ya wachina watakaoruhusiwa kufanya kazi hapo
2) kusiwepo na zuio lolote la kuendeleza bandari zetu
3) baada ya muda gani bandari itamilikiwa kwa 100% na Tanzania, bila ya kujali pesa waliyowekeza imerudi au haijarudi
4) Kodi zote zitakusanywa na mamlaka za Tanzania, isipokuwa port charges ndiyo zitakusanywa na Wachina.
Bora ukoloni wa mabeberu KILA mtu ni shahidi maendeleo yameonekana na sio ukoloni huu mpya wa mchina akishirikishiana na madiktetaMwaka 2019 Rais wa China kwenye mkutano wa Chama Cha CCP aliwahi kusema 'Now it is time to go in Africa' huo ni mkakati wa kulichukua bara lite la Africa Nashangaa hata wanaoshabikia bandari ya Bwaga moyo ijengwe na hawa watu wenye macho madogo,siyo maneno yangu ni maneno ya Mme wake na queen Elizabeth aliyesema hayo akimnong'oneza mke wake bahat mbaya wakamnasa
Africa hawapendi kufuatiliwa juu ya haki za binadamu na utawala boraViongozi wa africa wanaipenda China vile hawakemei maovu Yao Matokeo Sasa Africa inaanzwa kuuzwa kihalali in the name of mikopo
Hata US wanatumia bidhaa za mchina,Nimestuka miez iliuopita nimenunua tv imekaa wiki mbil display ikatoa mwanga mweupe kuashiria imeungua nikavuta nyingine mwendo huo huo nikasema labda vyanzo vyangu vya umeme vinapower kubwa nikavuta nyingine kilichofuata nikaenda mkoromea muuzaji ndipo akanichana ukweli sasa najiuliza hivi hiyi tbs kazi yake nini mbona tunapigwa wao wanakenua meno hivi hawaoni haya
|√uma |_ao
View attachment 2024221
Kuna maswali najiuliza mbona kama wanasiasa wa tanzania baraz Wana uwezo mkubwa sana katka comedy kuliko hata politics Kuna haja yakua halalisha kua politics in tz is directly proportional to comedyViongozi wa africa wanaipenda China vile hawakemei maovu Yao Matokeo Sasa Africa inaanzwa kuuzwa kihalali in the name of mikopo
Unawaona viongozi wa ccm na serikali wana akili hiyo kweli *Sio lazima kwa WaAfrica kukopa.....mfano kwa sasa Tanzania ilipaswa kutumia resources zake kujiletea maendeleo..na kuachana na hii mikopo ya kijinga kijinga, ....
Hakuna mwema kwa mwafrica, lamsingi ni mwafrica atumie maarifa na akili zake mwenyewe kujiletea maendeleo yake mwenyewe akiachana na urafiki wa kipumbavu na wapumbavu..
Yani wako radhi watoe nchi kwa wachina kisa hawakemewi inasikitisha sanaAfrica hawapendi kufuatiliwa juu ya haki za binadamu na utawala bora
Hata akili ya comedy hawanaKuna maswali najiuliza mbona kama wanasiasa wa tanzania baraz Wana uwezo mkubwa sana katka comedy kuliko hata politics Kuna haja yakua halalisha kua politics in tz is directly proportional to comedy
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app