Miaka nenda rudi ya madeni, hakuna Ulaya au Amerika walipotaifisha mali

Ni bora tukaacha kwanza kila kitu tukawa na uwezo wa kuzalisha umeme wa kutosha...

tukaacha kila kitu, tukawa na state owned iron ore mining pale mchuchuchuma...

Tukaacha kila kitu Bandari zetu zikawa na ufanisi wa kutosha....

mwisho kabisa; MCHAWI WA AFRICA KWA SASA NI MWAFRICA MWENYEWE..
 
Kwa mchina sidhani kama kuna mtza anamkamata hata milioni moja kwa mwezi mshahara,hovyo Sana hawa watu
And primitive, wenyewe wanaamini waafrika wote ni maskini na wajinga, waarabu na waislamu wote ni magaidi!! Yaani wakishamezeshwa propaganda kutoka Beijing wanazibeba kama zilivyo, hawajui kuhoji! Wakiambiwa na Beijing waende kushoto, wote wanaenda kushoto, wakiambiwa kulia, wote wanaenda kulia
 
Nimeikumbuka sna kampuni ya ujenzi wa mwendo Kaz kipindi kile2015 ya stragba ilikuwa Ni kampuni za mabeberu ila ilikuwa vzr San watz walifaidika na kunufaika kuwa vibarau kwa hao mabeberu CYO Hawa wapuuuzi wa sas HV ambapo Kila kandaras za ujenzi wamepewa wao Kila Kona ya nnchi Ni mchina Yuko ...sijui tunaelekea wapi
 
Airport ya uganda ndo basi tena mali ya Mchina. Akifanya ukarabati ndeni linazidi kuongezeka
 
And primitive, wenyewe wanaamini waafrika wote ni maskini na wajinga, waarabu na waislamu wote ni magaidi!! Yaani wakishamezeshwa propaganda kutoka Beijing wanazibeba kama zilivyo, hawajui kuhoji! Wakiambiwa na Beijing waende kushoto, wote wanaenda kushoto, wakiambiwa kulia, wote wanaenda kulia
Hata uwekezani wao ni wa kihuni huni tu.
Wachina wakipewa tza mwaka mmoja tu wamehamisha KILA kitu China ,wanamjua maafisa wetu ni kuwapa virushwa vidogo vidogo mizigo inapita
 
China utoa masharti nafuu Ili upate pesa wakamate mali zako.
Wamemaliza miti yote mikubwa nchini wamesafirisha kwao.
Wao ndo ujiona wanashida na pesa kuliko wengine.
Ukienda Msumbiji, ukiona Wachina wanavyofanya, japo siyo nchi yako, unaweza kutokwa na machozi. Wanakata magogo kutoka mapori yote, na kuna mapori maradufu ya Tanzania, halafu unaambiwa kuwa wameruhusiwa kumaliza hiyo misitu yote baada ya kujenga vyumba viwili vya madarasa.
 
Ni bora tukaacha kwanza kila kitu tukawa na uwezo wa kuzalisha umeme wa kutosha...

tukaacha kila kitu, tukawa na state owned iron ore mining pale mchuchuchuma...

Tukaacha kila kitu Bandari zetu zikawa na ufanisi wa kutosha....

mwisho kabisa; MCHAWI WA AFRICA KWA SASA NI MWAFRICA MWENYEWE..
Kila kitu kinaenda kwa steps Chief, wenzetu wameanza struggles za maendeleo ya kisasa miaka ya 1400's, wakati huo sisi tunapambana na Simba, Chui misituni!! Lazima tukubali wapo one step ahead of us, ila tutawafikia na kuwapita, speed yetu siyo mbaya, na tuna pa kujifunza
 
Nimestuka miez iliuopita nimenunua tv imekaa wiki mbil display ikatoa mwanga mweupe kuashiria imeungua nikavuta nyingine mwendo huo huo nikasema labda vyanzo vyangu vya umeme vinapower kubwa nikavuta nyingine kilichofuata nikaenda mkoromea muuzaji ndipo akanichana ukweli sasa najiuliza hivi hiyi tbs kazi yake nini mbona tunapigwa wao wanakenua meno hivi hawaoni haya

|√uma |_ao
View attachment 2024221
Ukweli, kama tungekuwa na viongozi wazalendo Afrika, wangeweza kuilazimisha China kulipa maelfu ya fidia kutokana na hasara wanazopata wanunuzi wa bidhaa zao duni.

Kati ya majanga makubwa kwa Afrika kwa sasa ni pamoja na kuzagaa kwa bidhaa duni toka China.
 
Nimeikumbuka sna kampuni ya ujenzi wa mwendo Kaz kipindi kile2015 ya stragba ilikuwa Ni kampuni za mabeberu ila ilikuwa vzr San watz walifaidika na kunufaika kuwa vibarau kwa hao mabeberu CYO Hawa wapuuuzi wa sas HV ambapo Kila kandaras za ujenzi wamepewa wao Kila Kona ya nnchi Ni mchina Yuko ...sijui tunaelekea wapi
Nyingi chini ya kiwango Ili wapige parcent we uoni barabara inajengwa leo kesho wanabomoa imechakaa,uhuni huu wanaupenda Sana wachina wao awaangalii CV wanaangalia kuingiza mfukoni ndo maana hata watendaji wetu uwapenda wachina ni wepesi Sana kwenye dili ni watu corrupt kabisa.
Kampuni za wazungu wapo straight na awajengi substandard wao wapo radhi asipate faida lakini atengeneze CV Ili imsaidie kupata Kazi kubwa za kimataifa.
Na awapo tayari kucheza dili na mafisadi Ili kulinda CV.
 
Ukienda Msumbiji, ukiona Wachina wanavyofanya, japo siyo nchi yako, unaweza kutokwa na machozi. Wanakata magogo kutoka mapori yote, na kuna mapori maradufu ya Tanzania, halafu unaambiwa kuwa wameruhusiwa kumaliza hiyo misitu yote baada ya kujenga vyumba viwili vya madarasa.
Wameivuruga zambia,zambia ya Mzungu ilikuwa tamu ajira tele tena pesa nzuri ukimaliza mkataba mtaji tosha uhitaji ajira.
Saa hizi wanaishambulia Congo,awajui lugha lakini wanaujasili wa kupenya popote hata porini unawakuta wanasaka pesa.
Wanapewa pesa na nchi yao wanasaini lazima pesa irudi na faida au urudi maiti usiporudi na pesa.
 
Miaka ya katibuni, baadhi ya watanzania na waafrika kwa ujumla, wameweehukia mikopo ya kutoka Chima. Tna wengine kufikia kuwadharau wahisani na wakopeshaji wetu wa asili ambao ni mataifa ya Ulaya na America.

Kwa ujinga tu, wengine wakafikia kuwaita hawa watoaji misaada na wakopeshaji wetu wa asili, yaani nchi za Ulaya na America, kuwa ni mabeberu wanaopora rasilimali za Afrika, na huku wakiongezea kuwa wamempata rafiki mpya, mwenye mapenzi mema na Afrika, Mchina.

Pamoja na Afrika kuelemewa na madeni makubwa toka nchi za Ulaya na America, haikuwahi kutokea wakopeshaji hao kuchukua vitega uchumi vya nchi mdaiwa, kama viwanja vya ndege au bandari, hata mara moja, kama anavyofanya Mchina.

Nadhani,memesikia, Airport ya Uganda imechukuliwa na wachina kwa sababu Uganda imeshindwa kulipa deni kwa wakati. Bandari ya Mombasa inanyemelewa kwa sababu hizo hizo. Airport na Shirika la umeme Zambia, vipo mbioni kuchukuliwa. Bandari ya Gambia imechukuliwa kwa sababu hizo hizo.

Hivi China, inapochukua vyanzo hivyo vikubwa vya mapato vya mataifa haya maskini, huo ndio upendo wao kwa Afrika au ni mbinu ya kuididimiza Afrika?

China inanufaika sana kutoka Afrika kuliko nchi za Afrika zinavyonufaishwa na China. Afrika limekuwa ndiyo soko kubwa la bidhaa zake duni na zisizo na ubora. Haijaridhika na hayo yote, sasa wanataka kuja moja kwa moja na kubeba hata kile kidogo ambacho nchi za Afrika inacho.

Kwangu mimi, China inaitumbukiza kwenye umaskini mkubwa Afrika kwa bidhaa zake duni. Waafrika kwa sababu ya umaskini, wanalazimika kununua bidha hizi duni za China ambazo ni aghali sana. Nasema ni aghali sana, kwa sababu, ukinunua kiatu toka China cha shilingi laki 1 kinadumu miezi 6, ukinunua kiatu toka Italy sh laki 2, kinadumu miaka 6, kipi ni aghali zaidi? Kiatu cha China kinachodumu miezi sita ni sawa unatumia sh 100,000÷6 kwa mwezi. Ina maana kila mwezi imekugharimu zaidi ya sh 16,000. Cha Italy, kilichodumu miaka 6 (miezi 72) ina maana kila mwezi imekugharimu 200,000÷72, sawa na sh 2,777. Na hiyo ipo kwenye magari, jenereta za umeme, na kila aina ya machine.

Bidhaa za China ni bei nafuu wakati unanunua, ukienda kwenye matumizi, bidhaa za China ni aghali sana.

Kama una kiwanda au shughuli yako inayotumia mashine mbalimbali, na unataka kufanya shughuli zako kwa uhakika, ziepuke sana bidhaa za China. Utafilisika, huku wachina wakitajirika bila ya kukuonea huruma.

Ukoloni wa Mchina utakuwa mbaya zaidi kuzidi hata biashara ya utumwa iliyofanywa na mwarabu. Mataifa ya Afrika yajihadhari sana Mchina. China inaiona Afrika kama ndilo bara litakaloifanya ibadilishe maisha ya wananchi wake, ambao wengi wapo kwenye umaskini mkubwa.

IMG-20211126-WA0062.jpg

IMG-20211126-WA0039.jpg

IMG-20211126-WA0038.jpg
 
Sio lazima kwa WaAfrica kukopa.....mfano kwa sasa Tanzania ilipaswa kutumia resources zake kujiletea maendeleo..na kuachana na hii mikopo ya kijinga kijinga, ....

Hakuna mwema kwa mwafrica, lamsingi ni mwafrica atumie maarifa na akili zake mwenyewe kujiletea maendeleo yake mwenyewe akiachana na urafiki wa kipumbavu na wapumbavu..
Safi sana

Hizi ndiyo akili

Napenda watu wenye mawazo kama yako siyo wanaowaza kukopa na kusaidiwa
 
Miaka ya katibuni, baadhi ya watanzania na waafrika kwa ujumla, wameweehukia mikopo ya kutoka Chima. Tna wengine kufikia kuwadharau wahisani na wakopeshaji wetu wa asili ambao ni mataifa ya Ulaya na America.

Kwa ujinga tu, wengine wakafikia kuwaita hawa watoaji misaada na wakopeshaji wetu wa asili, yaani nchi za Ulaya na America, kuwa ni mabeberu wanaopora rasilimali za Afrika, na huku wakiongezea kuwa wamempata rafiki mpya, mwenye mapenzi mema na Afrika, Mchina.

Pamoja na Afrika kuelemewa na madeni makubwa toka nchi za Ulaya na America, haikuwahi kutokea wakopeshaji hao kuchukua vitega uchumi vya nchi mdaiwa, kama viwanja vya ndege au bandari, hata mara moja, kama anavyofanya Mchina.

Nadhani,memesikia, Airport ya Uganda imechukuliwa na wachina kwa sababu Uganda imeshindwa kulipa deni kwa wakati. Bandari ya Mombasa inanyemelewa kwa sababu hizo hizo. Airport na Shirika la umeme Zambia, vipo mbioni kuchukuliwa. Bandari ya Gambia imechukuliwa kwa sababu hizo hizo.

Hivi China, inapochukua vyanzo hivyo vikubwa vya mapato vya mataifa haya maskini, huo ndio upendo wao kwa Afrika au ni mbinu ya kuididimiza Afrika?

China inanufaika sana kutoka Afrika kuliko nchi za Afrika zinavyonufaishwa na China. Afrika limekuwa ndiyo soko kubwa la bidhaa zake duni na zisizo na ubora. Haijaridhika na hayo yote, sasa wanataka kuja moja kwa moja na kubeba hata kile kidogo ambacho nchi za Afrika inacho.

Kwangu mimi, China inaitumbukiza kwenye umaskini mkubwa Afrika kwa bidhaa zake duni. Waafrika kwa sababu ya umaskini, wanalazimika kununua bidha hizi duni za China ambazo ni aghali sana. Nasema ni aghali sana, kwa sababu, ukinunua kiatu toka China cha shilingi laki 1 kinadumu miezi 6, ukinunua kiatu toka Italy sh laki 2, kinadumu miaka 6, kipi ni aghali zaidi? Kiatu cha China kinachodumu miezi sita ni sawa unatumia sh 100,000÷6 kwa mwezi. Ina maana kila mwezi imekugharimu zaidi ya sh 16,000. Cha Italy, kilichodumu miaka 6 (miezi 72) ina maana kila mwezi imekugharimu 200,000÷72, sawa na sh 2,777. Na hiyo ipo kwenye magari, jenereta za umeme, na kila aina ya machine.

Bidhaa za China ni bei nafuu wakati unanunua, ukienda kwenye matumizi, bidhaa za China ni aghali sana.

Kama una kiwanda au shughuli yako inayotumia mashine mbalimbali, na unataka kufanya shughuli zako kwa uhakika, ziepuke sana bidhaa za China. Utafilisika, huku wachina wakitajirika bila ya kukuonea huruma.

Ukoloni wa Mchina utakuwa mbaya zaidi kuzidi hata biashara ya utumwa iliyofanywa na mwarabu. Mataifa ya Afrika yajihadhari sana Mchina. China inaiona Afrika kama ndilo bara litakaloifanya ibadilishe maisha ya wananchi wake, ambao wengi wapo kwenye umaskini mkubwa.

Aiseee hatariii Tuombe Tuu MUNGU kwa kweli
Kwani Pascal Mayalla anasemaje...
Yeye pia ni Mzalendo kweli
Nazungumzia Kuhusu Kuomba MUNGU hata Kuomba MUNGU anaweza kaa kimya jamaa
 
Baada ya UHURU watawala wa kiafrica walikimbilia china sababu sera na itikadi zao za udikteta zilifanana
 
Waafrica mnalia lia sana, tengenezeni vya kwenu na mkopeshane wenyewe acheni kutegemea wengine, kwani wao nani aliwasaidia, na hakuna pesa ya bure acheni ujinga na hamlazimishwi kuchukua hiyo mikopo,na hata hiyo mikopo tukipewa inaishia kwa mafisadi tuu bora watukomeshe ili tuiache, mmejaza ardhi nzuri na mabonde yaliyojaa maji lakini mpaka leo bado tunaagiza mchele na sukari, tujilaumu wenyewe na tubadilike
Ahsante sana mkuu
 
Nyingi chini ya kiwango Ili wapige parcent we uoni barabara inajengwa leo kesho wanabomoa imechakaa,uhuni huu wanaupenda Sana wachina wao awaangalii CV wanaangalia kuingiza mfukoni ndo maana hata watendaji wetu uwapenda wachina ni wepesi Sana kwenye dili ni watu corrupt kabisa.
Kampuni za wazungu wapo straight na awajengi substandard wao wapo radhi asipate faida lakini atengeneze CV Ili imsaidie kupata Kazi kubwa za kimataifa.
Na awapo tayari kucheza dili na mafisadi Ili kulinda CV.
Tumekishwa nakereka sna ninavyo waona wachina wakizagaaa nchini na kubetisha kamari za kipuuzi nnchi nnzima na serkali ipo inawatazama tu .na Kaz kuubwa wamepewa wao tu Barbara zote na madaraja makubwa wamepewa tenda nakerka mnoo ...mm mwez wa tano nilikuwa nafanya Kaz kwa mchini Apo mbezi african jamaa wanafanya magendo Sana niliwashtua tra waweke mitego lkn cjaona wakibadilikaa nazani wamewabraib hao maafisa wetu
 
Hao maafisa cha kubadili hawana zaidi ya kutengeneza maslai yao tu.
Kwa dili na kubebana ni balaa awatoi tenda kwa kampuni au mtu asiye mchina.
Beberu akipewa contract rangi zote utaziona kwenye subcontract hao ni wachina tupu.
SAwa wameifungua Afrika kwa kutuletea bodaboda,vifaa vya solar,nk still wameitafuna Sana afrika,walikaribishwa afrika na madikteta.
Pia sera mbaya za vyombo vya habari vya ulaya miaka ya nyuma viliandika negative kuhusu afrika mfano umasikini,vita,magonjwa,nk wazungu wakaogopa kuwekeza mchina sera zake za habari akaandika positive kuhusu afrika,wachina wakajaa.
Mzungu akastuka akaacha kuandika negative kuhusu afrika akiwa keshachelewa huku mchina keshakamata afrika yote
 
Mchina hana mbinu ya kuididimiza Africa bali anataka kuwa na vyanzo vingi africa na sehemu nyingi kwa ajili ya chakula cha raia wake huko kwani ardhi yao kubwa wamewekeza kutanua miji na kujenga viwanda vikubwa sana

Sasa mashamba yanahitajika na sehemu ya kusafirishia mazao hayo

Ndio maana Think tank wa huko wakaja na mkakati wa kuwakopa mafala kwa kuwasainisha kwa kupewa nao kiasi kikubwa cha hela kama asante kama watafanikisha kusaini mkataba wa kupora ardhi

Mtu mweusi akaanguka kalamu kwa kuona hizo hongo kwenye acc yake bila kujali anauza ardhi ya nchi

Sasa mchina atamiliki bandari na airports halafu ardhi anakodi kwa miaka 30 au zaidi
Mtu mweusi atalimishwa sana na mazao yatapelekwa China mtake msitake

Huu ndio mkakati na strategy zao

Kama inauma kunywa maji tu hali ndio hii

Walisema mzungu masharti yake analazimisha na ushoga
Haya sasa
 
Hii message ilitakiwa imfikie jiwe angekuwepo angeelewa utapeli wa hawa ndugu zake,beberu ni zimwi likujualo.
Mchina hana utu wala humanity.
Hata kwenye ajira beberu utoa maslai ukifanya Kazi kwake hata miaka 3 nssf mtaji tosha.
Nimefanya research fupi karibia watu wote ninaowafahamu waliofanya kazi kwa mchina ni masikini wa kutupwa miaka nenda rudi!!
 
Back
Top Bottom