cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,322
Sasa China haina utu itageuza Africa koloni lake watu watakula mijelediAfrica hawapendi kufuatiliwa juu ya haki za binadamu na utawala bora

Mzungu hataki ujanja ujanja! Amenyooka, Samia atatafuna sana hela zao, sababu hana janjajanja, amenyookaM
Mzungu ukikopa pesa zake ueleze kwa uwazi unaemda kufanyia nini na uoneshe hicho kitu ulichofanyia a-to-z. Viongozi wa afrika hawapendi uwazi, uadilifu wala ushirikishwaji. Ndio maana wanachukia mikopo ya wazungu wanakimbilia ya China.
Nchi chache sana zinaendelea kuwakopa Wachina, wengi wameshtukaSasa China haina utu itageuza Africa koloni lake watu watakula mijeledi
M7 ni mtu wa ajabu sana, ila pamoja na madhaifu yake yote kaleta stability Uganda, Maana jamaa nao walikuwa hawajatulia kabisaPesa zenyewe mseveni alikuwa anakopa anafanyia uchaguzi wa kupora wapinzani magari ya washa washa wakati waganda hata maji ni tatizo kubwa.
Hawataki yeyote aonewe, sasa viongozi Miungu Mtu waliokulia kwenye maisha ya umaskini vijijini huko hawaelewi kabisa, mateso ya utoto wao wanataka wayafidie kuwakomoa wengine! Siku zote nitamsapoti Rich politician, aliyetoka kwenye background inayoelewekaMabeberu wana utu sana wale. All they care is humanity.
Hii ya Bwagamoyo nadhani tusubiri tuone Terms and Conditions, kama ni za hovyo basi Serikali ipigiwe kelele, Kelele zikiwa nyingi wataachaIle bandar ya Bwagamoyo,mbona tunasikia yeye ndiye anapewa,hivi tutapona kweli? Sasa naamini mtanikumbuka.Nawashauri waganda wawavamie kwa bunduki,marungu,mapanga waachie mali za Waganda.au tufuate nyayo za nduli.Nchi yetu,kiwanja chetu eti aje Mchina akichukue? Si patawaka moto,Ina maana hata jeshi la kuchukua hiyo nchi hakuna,ndege za Uganda zitatua kwenye kiwanja cha China Airport Kampala.Baadaye Hii ya hapa itaitwa China Bwagamoyo Habours Tanzania.
Mungu tusaidie.
Hizo bidhaa toka china mfano hizo simu si mchina anauza kwan anatoa bure? kabla ya simu za mchina mbona nokia, siemens, sagem, motorolla, n.k zilikuwepo tena wala hazikuwa zinatoka china. Hata ukikataa vipi mchina ana masharti ambayo siyo mazuri kwenye mikopo yake na ndiyo maana nchi ambazo viongozi wake hawapendi uwazi na uwajibikaji wanakimbilia mikopo ya mchina, na matokeo yake ndiyo hayo ya vitu nyeti kutwaliwa na mdai. Mchina hawezi endeleza Afrika, ingekuwa hivyo Tanzania ingekuwa mbali basi maana Tz na china ni marafiki wa kupika na kupakua toka enzi ya Nyerere. Wachina haohao ndio wanaongoza kwa bidhaa feki, walitengeneza maziwa feki ya watoto wachanga mpaka ikawa scandal tena kubwa halaf we unasema waachwe wafanye biashara? Utafiti uliofanywa na MUHAS unaonyesha madawa mengi ya miti shamba ya china yanapelekea figo kufeli halafu wewe unasema waachwe wafanye biashara?Pale wapumbavu wawili mnapokutana kuwasujudia na kuwasifia mabwana zenu.
huyo mchina mnaempigia kelele, kuna bidhaa&huduma kama si mkono wa huruma ya mchina bas kuna baazi ya waafrika choka mbaya wasingeweza kupata hizo bidhaa&huduma.
just imagine humu lijitu liko bize kumtusi mchina uku likitumia kitecno, infinix&itel kutype upumbavu humu wakat hata hiyo sim umepata baada ya mchina kukuletea bidhaa inayoenda sawa na uchumi wako.
humu wengi hakuna mjualo, na wengi koment zenu zimejaa chuki bila kutafakar, ni kwel mchina anazngua, lkn hazngui bila kukarbishwa ama hakuforce kukuchuna, bali ni ninyi wapumbav pamoja na umasikin wenu ndyo unawafanya mtake huduma zake mbovu/chini ya kiwango.
nasikitika kusema kuwa wengi hamumjui mchina vzr, mnamzania kwa upande mmoja tu,
mngejuwa kuwa mchina n mtu mfanyabiashara, ambaye hataki kupoteza aina yoyote ya shilingi, iwe ya masikin ama tajir yeye anahitaji tu, ndiomaana akaunda bidhaa za aina mbili, yaan zenye quality ambazo kimsingi bidhaa hiz huwez pata soko lake ktk nchi masikin, bal utazpata bidhaa hizo kwa wanaojweza,
vivyo hivyo hata kwa wanyonge, nao hajawaacha nyuma maana kawawekea bidhaa za pesa zao ambazo ni chini ya kiwango kuendana na uchumi wa muhtaj.
msimlaum mchina kwa kuchukua mali za waafrika, maana hata ktk mikataba mlisain wenyewe na hakuna aliewashurutisha kusaini.
na ndvyo ilivyo hata mikataba ya mabenk, unaposhindwa kulipa lazma mali zako wazibebe, kwahiyo hata kwa mchina ni sawa akifanya hivyo kwakuwa yupo kibiashara na hakuna cha bure, hawez kuwapa misaada bure wakat nchini mwake kuna wahitaji vile vile.
huyo mzungu mnaemsifia kuwa hana ubaya kweny mikopo yake, mujue kuwa nae ni mnyonyaji ambaye anakukopesha kwa faida vile vile, faida moja wapo n kukushurutisha ufuate sera za nchi zao mfano demokrasi itakayowafanya mzid kurud nyuma kiuchum kwa kuibua makundi yanayopingana ndan ya nchi, na hapa ndpo anapapenda il mzid kuwa wanyonge awape misaada mshindwe kulipa na yeye azid kuwaibia rasilimali zenu ,
mfano hakuna taifa lolote afrika lililofuata demokrasia likaendelea, halipo, hata hapa Tz mnaona jins watu wanavyopingana sabbu ya utofaut wa itikadi badara ya kufocus kwenye kujenga nchi kiumoja, watu wako bize kulilia mambo yakipuuzi.
Pia kuna mambo yakipuuz kama hayo ya utetez wa haki zakipuuzi kama za kulea mashoga na wasagaji haya ndyo mzungu anayataka baada ya kukusaidia.
pia mzungu anawawekea mashart mepes ktk ulipaj wa maden sababu anawalipa fidia za ushenz aliowatendea babu zetu(ukoloni) ikiwa kama kifuta machozi ama kuwasahaulisha ushetan wao na muwaone wema sana, lkn mngetafakar kuwa kile wanachokichuma afrika ni kikubwa kulko wanachowakopesheni, hata wakisamehe madeni hawapungukiwi kwa lolote,
muacheni mchina apige biashara na wapumbavu, ilimladi hakuna aliewaforce mkubali mashart ya mikopo na misaada yake.
Afrika kuendelea inamuhitaji sana mchina na mkoloni mwenye roho mbaya ili akili ziwakae sawa, hayo mambo ya demokrasi hayana faida na hayawez leta maendeleo kwa taifa lolote lile, hata hao wanaowaforce mfuate demokrasia, ktk nchi zao hakuna iyo kitu, na wala hawakuitumia wakat wanajenga nchi zao.
wanakundi fulan wakisika demokrasia si chanzo cha maendeleo wanapanik sana, maana wamejikita ktk kuulilia huu upuuzi si kwa manufaa ya nchi bali kwa manufaa ya genge lao ili wapate chance ya kupata madaraka.
I support you. They are just Saddist. Kila mwenye pesa wanaamini ni mwizi kwa ujinga wao.Hawataki yeyote aonewe, sasa viongozi Miungu Mtu waliokulia kwenye maisha ya umaskini vijijini huko hawaelewi kabisa, mateso ya utoto wao wanataka wayafidie kuwakomoa wengine! Siku zote nitamsapoti Rich politician, aliyetoka kwenye background inayoeleweka
Shida tuliyonayo kwa sasa wengine tungependa tununue bidhaa nzuri kutoka Japan, USA na nchi za ulaya lakini ingia kwenye soko siku hizi havipo kabisa mfano vifaa vya umeme utafikiri vyote vinatoka china hamna brand za ulaya hii ni hatari. Wa kulaumiwa ni shirika la viwango Tannzania wamezidiwa. Vitu vya china vinavyokuja TZ tofauti na SA kwa ubora vya kwetu ni hafifu mno sababu wa kukosa mamlaka yenye nguvu ya udhibiti.Miaka ya katibuni, baadhi ya watanzania na waafrika kwa ujumla, wameweehukia mikopo ya kutoka Chima. Tna wengine kufikia kuwadharau wahisani na wakopeshaji wetu wa asili ambao ni mataifa ya Ulaya na America.
Kwa ujinga tu, wengine wakafikia kuwaita hawa watoaji misaada na wakopeshaji wetu wa asili, yaani nchi za Ulaya na America, kuwa ni mabeberu wanaopora rasilimali za Afrika, na huku wakiongezea kuwa wamempata rafiki mpya, mwenye mapenzi mema na Afrika, Mchina.
Pamoja na Afrika kuelemewa na madeni makubwa toka nchi za Ulaya na America, haikuwahi kutokea wakopeshaji hao kuchukua vitega uchumi vya nchi mdaiwa, kama viwanja vya ndege au bandari, hata mara moja, kama anavyofanya Mchina.
Nadhani,memesikia, Airport ya Uganda imechukuliwa na wachina kwa sababu Uganda imeshindwa kulipa deni kwa wakati. Bandari ya Mombasa inanyemelewa kwa sababu hizo hizo. Airport na Shirika la umeme Zambia, vipo mbioni kuchukuliwa. Bandari ya Gambia imechukuliwa kwa sababu hizo hizo.
Hivi China, inapochukua vyanzo hivyo vikubwa vya mapato vya mataifa haya maskini, huo ndio upendo wao kwa Afrika au ni mbinu ya kuididimiza Afrika?
China inanufaika sana kutoka Afrika kuliko nchi za Afrika zinavyonufaishwa na China. Afrika limekuwa ndiyo soko kubwa la bidhaa zake duni na zisizo na ubora. Haijaridhika na hayo yote, sasa wanataka kuja moja kwa moja na kubeba hata kile kidogo ambacho nchi za Afrika inacho.
Kwangu mimi, China inaitumbukiza kwenye umaskini mkubwa Afrika kwa bidhaa zake duni. Waafrika kwa sababu ya umaskini, wanalazimika kununua bidha hizi duni za China ambazo ni aghali sana. Nasema ni aghali sana, kwa sababu, ukinunua kiatu toka China cha shilingi laki 1 kinadumu miezi 6, ukinunua kiatu toka Italy sh laki 2, kinadumu miaka 6, kipi ni aghali zaidi? Kiatu cha China kinachodumu miezi sita ni sawa unatumia sh 100,000÷6 kwa mwezi. Ina maana kila mwezi imekugharimu zaidi ya sh 16,000. Cha Italy, kilichodumu miaka 6 (miezi 72) ina maana kila mwezi imekugharimu 200,000÷72, sawa na sh 2,777. Na hiyo ipo kwenye magari, jenereta za umeme, na kila aina ya machine.
Bidhaa za China ni bei nafuu wakati unanunua, ukienda kwenye matumizi, bidhaa za China ni aghali sana.
Kama una kiwanda au shughuli yako inayotumia mashine mbalimbali, na unataka kufanya shughuli zako kwa uhakika, ziepuke sana bidhaa za China. Utafilisika, huku wachina wakitajirika bila ya kukuonea huruma.
Ukoloni wa Mchina utakuwa mbaya zaidi kuzidi hata biashara ya utumwa iliyofanywa na mwarabu. Mataifa ya Afrika yajihadhari sana Mchina. China inaiona Afrika kama ndilo bara litakaloifanya ibadilishe maisha ya wananchi wake, ambao wengi wapo kwenye umaskini mkubwa.
Strabag hata Konoike nao walikuwa njema wale wajapani! Yani katika Asia watu wenye tabia za kizungu atleast ni wajapani😅Nimeikumbuka sna kampuni ya ujenzi wa mwendo Kaz kipindi kile2015 ya stragba ilikuwa Ni kampuni za mabeberu ila ilikuwa vzr San watz walifaidika na kunufaika kuwa vibarau kwa hao mabeberu CYO Hawa wapuuuzi wa sas HV ambapo Kila kandaras za ujenzi wamepewa wao Kila Kona ya nnchi Ni mchina Yuko ...sijui tunaelekea wapi
Mchina halaumiwi ila unasemwa ukweliNaona lawama zetu zote tumeamua kuzielekeza kwa mchina sasa.
acha ujinga basi kuwa serious hivi unaona raha watu tupigwe kisa huzaa zao Zipo cheap huu mbona ni utapeli wana utofauti gani na wale wa kariakoo wakuuziwa sabuni bei ya simuPale wapumbavu wawili mnapokutana kuwasujudia na kuwasifia mabwana zenu.
huyo mchina mnaempigia kelele, kuna bidhaa&huduma kama si mkono wa huruma ya mchina bas kuna baazi ya waafrika choka mbaya wasingeweza kupata hizo bidhaa&huduma.
just imagine humu lijitu liko bize kumtusi mchina uku likitumia kitecno, infinix&itel kutype upumbavu humu wakat hata hiyo sim umepata baada ya mchina kukuletea bidhaa inayoenda sawa na uchumi wako.
humu wengi hakuna mjualo, na wengi koment zenu zimejaa chuki bila kutafakar, ni kwel mchina anazngua, lkn hazngui bila kukarbishwa ama hakuforce kukuchuna, bali ni ninyi wapumbav pamoja na umasikin wenu ndyo unawafanya mtake huduma zake mbovu/chini ya kiwango.
nasikitika kusema kuwa wengi hamumjui mchina vzr, mnamzania kwa upande mmoja tu,
mngejuwa kuwa mchina n mtu mfanyabiashara, ambaye hataki kupoteza aina yoyote ya shilingi, iwe ya masikin ama tajir yeye anahitaji tu, ndiomaana akaunda bidhaa za aina mbili, yaan zenye quality ambazo kimsingi bidhaa hiz huwez pata soko lake ktk nchi masikin, bal utazpata bidhaa hizo kwa wanaojweza,
vivyo hivyo hata kwa wanyonge, nao hajawaacha nyuma maana kawawekea bidhaa za pesa zao ambazo ni chini ya kiwango kuendana na uchumi wa muhtaj.
msimlaum mchina kwa kuchukua mali za waafrika, maana hata ktk mikataba mlisain wenyewe na hakuna aliewashurutisha kusaini.
na ndvyo ilivyo hata mikataba ya mabenk, unaposhindwa kulipa lazma mali zako wazibebe, kwahiyo hata kwa mchina ni sawa akifanya hivyo kwakuwa yupo kibiashara na hakuna cha bure, hawez kuwapa misaada bure wakat nchini mwake kuna wahitaji vile vile.
huyo mzungu mnaemsifia kuwa hana ubaya kweny mikopo yake, mujue kuwa nae ni mnyonyaji ambaye anakukopesha kwa faida vile vile, faida moja wapo n kukushurutisha ufuate sera za nchi zao mfano demokrasi itakayowafanya mzid kurud nyuma kiuchum kwa kuibua makundi yanayopingana ndan ya nchi, na hapa ndpo anapapenda il mzid kuwa wanyonge awape misaada mshindwe kulipa na yeye azid kuwaibia rasilimali zenu ,
mfano hakuna taifa lolote afrika lililofuata demokrasia likaendelea, halipo, hata hapa Tz mnaona jins watu wanavyopingana sabbu ya utofaut wa itikadi badara ya kufocus kwenye kujenga nchi kiumoja, watu wako bize kulilia mambo yakipuuzi.
Pia kuna mambo yakipuuz kama hayo ya utetez wa haki zakipuuzi kama za kulea mashoga na wasagaji haya ndyo mzungu anayataka baada ya kukusaidia.
pia mzungu anawawekea mashart mepes ktk ulipaj wa maden sababu anawalipa fidia za ushenz aliowatendea babu zetu(ukoloni) ikiwa kama kifuta machozi ama kuwasahaulisha ushetan wao na muwaone wema sana, lkn mngetafakar kuwa kile wanachokichuma afrika ni kikubwa kulko wanachowakopesheni, hata wakisamehe madeni hawapungukiwi kwa lolote,
muacheni mchina apige biashara na wapumbavu, ilimladi hakuna aliewaforce mkubali mashart ya mikopo na misaada yake.
Afrika kuendelea inamuhitaji sana mchina na mkoloni mwenye roho mbaya ili akili ziwakae sawa, hayo mambo ya demokrasi hayana faida na hayawez leta maendeleo kwa taifa lolote lile, hata hao wanaowaforce mfuate demokrasia, ktk nchi zao hakuna iyo kitu, na wala hawakuitumia wakat wanajenga nchi zao.
wanakundi fulan wakisika demokrasia si chanzo cha maendeleo wanapanik sana, maana wamejikita ktk kuulilia huu upuuzi si kwa manufaa ya nchi bali kwa manufaa ya genge lao ili wapate chance ya kupata madaraka.
Kwani hata huko mataifa mengine, huwa tunalazimishwa kuchukua mikopo?Hao wa ulaya wanatuibia kwa njia nyingine, wao wanacontrol masoko ya rasilimali zetu kama vile madini etc.
Halafu kama Mchina anachukua asset hilo ni kosa ls viongozi wa Afrika, walikuwa wapi wakati wanaingiza vipengele hivyo kwenye mikataba?
Mchina hakulazimishi kuchukua mkopo kwake ni njaa yako tu
Asante kwa mchango mrefu usio na ukweki wowote.Pale wapumbavu wawili mnapokutana kuwasujudia na kuwasifia mabwana zenu.
huyo mchina mnaempigia kelele, kuna bidhaa&huduma kama si mkono wa huruma ya mchina bas kuna baazi ya waafrika choka mbaya wasingeweza kupata hizo bidhaa&huduma.
just imagine humu lijitu liko bize kumtusi mchina uku likitumia kitecno, infinix&itel kutype upumbavu humu wakat hata hiyo sim umepata baada ya mchina kukuletea bidhaa inayoenda sawa na uchumi wako.
humu wengi hakuna mjualo, na wengi koment zenu zimejaa chuki bila kutafakar, ni kwel mchina anazngua, lkn hazngui bila kukarbishwa ama hakuforce kukuchuna, bali ni ninyi wapumbav pamoja na umasikin wenu ndyo unawafanya mtake huduma zake mbovu/chini ya kiwango.
nasikitika kusema kuwa wengi hamumjui mchina vzr, mnamzania kwa upande mmoja tu,
mngejuwa kuwa mchina n mtu mfanyabiashara, ambaye hataki kupoteza aina yoyote ya shilingi, iwe ya masikin ama tajir yeye anahitaji tu, ndiomaana akaunda bidhaa za aina mbili, yaan zenye quality ambazo kimsingi bidhaa hiz huwez pata soko lake ktk nchi masikin, bal utazpata bidhaa hizo kwa wanaojweza,
vivyo hivyo hata kwa wanyonge, nao hajawaacha nyuma maana kawawekea bidhaa za pesa zao ambazo ni chini ya kiwango kuendana na uchumi wa muhtaj.
msimlaum mchina kwa kuchukua mali za waafrika, maana hata ktk mikataba mlisain wenyewe na hakuna aliewashurutisha kusaini.
na ndvyo ilivyo hata mikataba ya mabenk, unaposhindwa kulipa lazma mali zako wazibebe, kwahiyo hata kwa mchina ni sawa akifanya hivyo kwakuwa yupo kibiashara na hakuna cha bure, hawez kuwapa misaada bure wakat nchini mwake kuna wahitaji vile vile.
huyo mzungu mnaemsifia kuwa hana ubaya kweny mikopo yake, mujue kuwa nae ni mnyonyaji ambaye anakukopesha kwa faida vile vile, faida moja wapo n kukushurutisha ufuate sera za nchi zao mfano demokrasi itakayowafanya mzid kurud nyuma kiuchum kwa kuibua makundi yanayopingana ndan ya nchi, na hapa ndpo anapapenda il mzid kuwa wanyonge awape misaada mshindwe kulipa na yeye azid kuwaibia rasilimali zenu ,
mfano hakuna taifa lolote afrika lililofuata demokrasia likaendelea, halipo, hata hapa Tz mnaona jins watu wanavyopingana sabbu ya utofaut wa itikadi badara ya kufocus kwenye kujenga nchi kiumoja, watu wako bize kulilia mambo yakipuuzi.
Pia kuna mambo yakipuuz kama hayo ya utetez wa haki zakipuuzi kama za kulea mashoga na wasagaji haya ndyo mzungu anayataka baada ya kukusaidia.
pia mzungu anawawekea mashart mepes ktk ulipaj wa maden sababu anawalipa fidia za ushenz aliowatendea babu zetu(ukoloni) ikiwa kama kifuta machozi ama kuwasahaulisha ushetan wao na muwaone wema sana, lkn mngetafakar kuwa kile wanachokichuma afrika ni kikubwa kulko wanachowakopesheni, hata wakisamehe madeni hawapungukiwi kwa lolote,
muacheni mchina apige biashara na wapumbavu, ilimladi hakuna aliewaforce mkubali mashart ya mikopo na misaada yake.
Afrika kuendelea inamuhitaji sana mchina na mkoloni mwenye roho mbaya ili akili ziwakae sawa, hayo mambo ya demokrasi hayana faida na hayawez leta maendeleo kwa taifa lolote lile, hata hao wanaowaforce mfuate demokrasia, ktk nchi zao hakuna iyo kitu, na wala hawakuitumia wakat wanajenga nchi zao.
wanakundi fulan wakisika demokrasia si chanzo cha maendeleo wanapanik sana, maana wamejikita ktk kuulilia huu upuuzi si kwa manufaa ya nchi bali kwa manufaa ya genge lao ili wapate chance ya kupata madaraka.
Upo sahihi sana. Watazame watu kama Mwigulu, marehemu, Mahela, Kingai, Makonda, Siro, n.k. They all act primitively.Hawataki yeyote aonewe, sasa viongozi Miungu Mtu waliokulia kwenye maisha ya umaskini vijijini huko hawaelewi kabisa, mateso ya utoto wao wanataka wayafidie kuwakomoa wengine! Siku zote nitamsapoti Rich politician, aliyetoka kwenye background inayoeleweka
Umezungumza ukweli mtupu. Mimi ni miongoni mwa watu ambao wamekuwa wakihangaika sana kupata vitu vya kutoka Japan, Ulaya au America, hupati. Zimejaa takataka za China.Shida tuliyonayo kwa sasa wengine tungependa tununue bidhaa nzuri kutoka Japan, USA na nchi za ulaya lakini ingia kwenye soko siku hizi havipo kabisa mfano vifaa vya umeme utafikiri vyote vinatoka china hamna brand za ulaya hii ni hatari. Wa kulaumiwa ni shirika la viwango Tannzania wamezidiwa. Vitu vya china vinavyokuja TZ tofauti na SA kwa ubora vya kwetu ni hafifu mno sababu wa kukosa mamlaka yenye nguvu ya udhibiti.