Shabani Ajaha
Member
- Aug 18, 2021
- 78
- 60
UVCCM Taifa
13 February, 2023
Miaka miwili ya Mama hakuna kilichosimama
Kazi za ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR, sehemu ya 5 Isaka - Mwanza (KM 341) unaotekelezwa na kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) kutoka China zikiendelea.
Ujenzi umefikia asilimia 22.67%
#HAKUNA KILICHO SIMAMA
Mengi ameyafanya Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye sekta ya Ujenzi na Uchukuzi toka alianza kuiongoza Nchi 19 March, 2021.
#AlipoMamaVijanaTupo
#CCMImaraSerikaliImara
#KulindaNaKujengaUjamaa
#KaziIendelee
13 February, 2023
Miaka miwili ya Mama hakuna kilichosimama
Kazi za ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR, sehemu ya 5 Isaka - Mwanza (KM 341) unaotekelezwa na kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) kutoka China zikiendelea.
Ujenzi umefikia asilimia 22.67%
#HAKUNA KILICHO SIMAMA
Mengi ameyafanya Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye sekta ya Ujenzi na Uchukuzi toka alianza kuiongoza Nchi 19 March, 2021.#AlipoMamaVijanaTupo
#CCMImaraSerikaliImara
#KulindaNaKujengaUjamaa
#KaziIendelee