Jumuiya ya kimataifa hajaitupa Zanzibar juu ya fitna zenu lakini mmepwerewa. na serikali ya umoja wa kitaifa hivi sasa hama kimoja tu ndiyo chenye uwakilishi na ukiisoma katiba vizuri haijakitaja hama cha CUF au CCM au JAHASI asilia. lakini kwa uungwana wa Dr shein na sprit ya kuona kuna umuhimu wa serikali yake kuwa inclusive na vyama vyengine ndiyo akawateuwa mawaziri 3 kutoka vyama vya upinzani. Na kuhusu CUF naona kama Seif/ Mazrui atagombea uraisi kwa ticket ya CHADEMAHahahahaa KISHADA naona bado unaenelea kuweweseka. si ulituambia hapa mwaka haumalizi Shein ataondoshwa madarakani? Serikali ya ZNZ ni ya umoja wa kitaifa ambayo inajumuisha vyama 4 angalia baraza la mwaziri la znz..
Pole sana 2020 siyo mbali kama bado seif atakuwa yupo CUF