Miaka miwili bila kusex

Miaka miwili bila kusex

Tafiti hii umeitoa wapi..? Akuna ukweli juu ya hilo ni drama za wazinzi kutaka kutetea uzinzi wao
Hahaaa.. Eti wazinzi kutetea uzinzi wao.

Ila kama wewe unaweza kuvumilia ivyo ni vizuri. Ila tuseme ukweli kwa dunia tunayo ishi sasa huwezi kukwepa vishawishi. Unaweza usiangalie porn na picha za gigy lakini ukaingia kwenye daladala ukakuta kuna mrembo kakaa kihasara, umeenda bar/club ndio usiseme huko, uko barabarani na dada zetu ndio wanavyo vaa ni hatari. Sasa kutokana na changamoto hizi wewe nani wa kuvumilia kiasi hiki. Utajikuta unatembea barabarani gobole linadindadinda muda wote.

Shida zote hizo za nini mkuu.?
 
Back
Top Bottom