Miaka miwili bila kusex

Miaka miwili bila kusex

Nilikuwa south katika mafunzo flani hv nilikaaa miaka 3 bila kupata papuch mana muda wote kaz kaz
 
Inawezekana japo ni ngumu sana kwenye miezi miwili ya kwanza.. Binafsi namiezi saba sasa sijui jinsia pinzani ikoje na kwanda la chaputa na vyeo vyake nilisha vivua toka mwaka jana.. Wengi watakuona wajabu maana tayari wamerusu kichwa cha chini kiwazidi marifa. Sikuzote unavyo uona ni ngumu kuishi bira sex na ndivyo hivyo hivyo ugumu unakuwepo kweli, anza kufikili tofauti kidogo na kukwepa kutizama video za porn wala picha za kina giggy money maana hawa ndio chanzo cha kutumbukia kwenye uzinzi
Mkuu hivi unajua kutokufanya mapenzi kwa mapenzi kwa muda kunapelekea hata ufanisi wa kazi nyingine kutokua mzuri, sometimes inapelekea hata mwanaume kuwa na chura.

Unachoongea kinawezekana lakini kwa nini ufanye ivyo.? Oa basi na huo ndio mwanzo wa ubakaji
 
Tafiti hii umeitoa wapi..? Akuna ukweli juu ya hilo ni drama za wazinzi kutaka kutetea uzinzi wao
 
Back
Top Bottom