Miaka miwili bila kusex

Miaka miwili bila kusex

Ufanisi wako wa kufanya kazi ni hafifu sana. Ili akili ikae sawa na ufanye mambo yako vizuri ni muhimu upate suna walau mara 1 kwa mwezi. Vinginevyo nina mashaka na wewe.
 
Inawezekana japo ni ngumu sana kwenye miezi miwili ya kwanza.. Binafsi namiezi saba sasa sijui jinsia pinzani ikoje na kwanda la chaputa na vyeo vyake nilisha vivua toka mwaka jana.. Wengi watakuona wajabu maana tayari wamerusu kichwa cha chini kiwazidi marifa. Sikuzote unavyo uona ni ngumu kuishi bira sex na ndivyo hivyo hivyo ugumu unakuwepo kweli, anza kufikili tofauti kidogo na kukwepa kutizama video za porn wala picha za kina giggy money maana hawa ndio chanzo cha kutumbukia kwenye uzinzi
 
Sikuwah kuwaza kama itatokea nikapitisha hata wiki bila kusex
Sasa natimiza Miaka miwili bila kukutana na Mwanamke kimwili baada ya kutoka Tanzania kuja kutafuta maisha nchi za kiarabu
hahaaa huko lazima uisome namba labda kama nimwanaume uwe unakwenda kununua papuchi but hilo linawezekana tu kwa U.A.E but kwa saudia aiseee itakubidi ubaki nahamu zako
 
Athari za nyeto ni kubwa Sana Bora kustahamili kw maana kila kitu kinawezekana
wewe jidanganye tu..muda simrefu utaanza kubaka mifugo ya watu mkuu
piga nyeto ..Mara Moja moja ukizidiwa sio mbaya
 
Watu wanafika 10 years bila kusex we 2 years unalia lia tu.
 
Kabisaaaa! Sababu ile kitu inashida moja ukiiwaza tu na huku miaka imepita ndio mwanzo wa kuamsha vilivyolala. Hahahaaa.

Hongera na wewe.
Kukaa muda mrefu bila kupiga show inawezekana, mara nyingi binadamu anakuwa na hamu ya hayo mambo kama mwili wake na akili yake iko idle/hajishughulishi, hivyo unatakiwa uuweke mwili wako busy, fanya mazoezi, fanya interactions na watu mbalimbali n.k, usiupe ubongo nafasi ya kufikiria K, na usipende kuangalia porn videos.

Hongera kwako
 
Kabisaaaa! Sababu ile kitu inashida moja ukiiwaza tu na huku miaka imepita ndio mwanzo wa kuamsha vilivyolala. Hahahaaa.

Hongera na wewe.
Wote hao waongo. Ile kitu haivumiliki asee.. Ukikaa muda mrefu sana kuna wakat mpka inakakamaa. Labda kama ni oya oya au wanapuchuka. Kwa mwanaume kamili haiwezekani asee
 
Kukaa muda mrefu bila kupiga show inawezekana, mara nyingi binadamu anakuwa na hamu ya hayo mambo kama mwili wake na akili yake iko idle/hajishughulishi, hivyo unatakiwa uuweke mwili wako busy, fanya mazoezi, fanya interactions na watu mbalimbali n.k, usiupe ubongo nafasi ya kufikiria K, na usipende kuangalia porn videos.

Hongera kwako

Hahaaaa. Sawa Mkuu huenda ikawa mleta uzi hivyo ulivyovitaja ndio anavyofanya na ndio sababu kaweza kustahmili mpaka hapo alipofika.

Hongera kwangu tena Mkuu. Ya nini?
 
Back
Top Bottom