Miaka mitatu ya ndoa, kipimo cha ndoa kuendelea au kuvunjika…!

Wala nini?
Mie nimesoma na mawani hebu ngoja nivue huenda nikaelewa vinginevyo......

Siku hizi hakuna cha ndoa wala nini.
Ni kuzoeana tu na kwa kuwa umenizalia watoto.
Period.
 
Hebu naomba unipe utaratibu wa divorce iwapo mwanamke anataka kumuacha mwanaume....

Sizijue Za Tz sheria zake ila USA ni Moto wa kuotea mbali(nusu kwa nusu na mume anakulipa mpaka upate mume mwingine,child support ,ndio hapo mume anapochagua kuua au kutoa huduma zote hizo)
 
Ahsante sana bwana mtambuzi sasa kama watu wameoana na wamekaa miaka mitatu kwa amani afu wa nne mmoja akaenda kusoma labda mbali na mwenzake. Je hayo mahesabu yako still yanahold?
 
Last edited by a moderator:
Sizijue Za Tz sheria zake ila USA ni Moto wa kuotea mbali(nusu kwa nusu na mume anakulipa mpaka upate mume mwingine,child support ,ndio hapo mume anapochagua kuua au kutoa huduma zote hizo)
Umenikumbusha kesi ya OJ Simpson..
 
Ahsante sana bwana mtambuzi sasa kama watu wameoana na wamekaa miaka mitatu kwa amani afu wa nne mmoja akaenda kusoma labda mbali na mwenzake. Je hayo mahesabu yako still yanahold?
Mahesabu yana hold kama ndoa inatawaliwa na vurugu..
Nilichomaanisha hapo ni kwamba kama ndoa ina vurugu za mara kwa mara, basi hayo makalikulesheni yangu yanaaplai....
 
Back
Top Bottom