Lisa
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 1,549
- 1,075
Hapana, unajua mm ningekuwa nafanya mpango kando , basi kungekuwa hakuna tatizo maana kila mmoja angekuwa hawezi kumchunguza mwenzie kwa sababu ya kutokuwa na muda, ila kwasababu sikuwa na sitokuwa na mpango kando ndiyo maana niliweza kubaini mapema kuwa kuna tatizo sehemu.Pia watoto watajifunza nn kutoka kwangu mm ambaye ni mama yao? unajua baba hawezi kuitwa malaya, hata awe na wanawake 100, ila mwanamke akiwa na mwanaume wa nje 1 ataitwa malaya, na hilo si jina jema kwangu, na namuomba Mungu anisaidie nisije itwa.Umesahau kuongezea na penzi zito la mpango wa kando hasa kwa wanandoa wanawake hii si SABABU kubwa sana inayowafanya waendelee kuvumila maana mahitaji anapata kwa mumewe ana watoto na PENZI ZITO la hawala maisha yanasonga