Miaka Mitano bila REGIA MTEMA

Ndio alikuwa nani huyo?!Hakuna hata picha yake?!

Alazwe mahali Pema.
Alikua Mbunge wa Vitu Maalum wa CHADEMA, Alikua Mwana JF mwenzetu mzuri sana, alikua mjenga hoja mzuri mno na alifariki kwa ajali ya Gari pale Ruvu miaka mitano iliyopita
 
Back
Top Bottom