Miaka Minne bila Magufuli

Wewe ungekuwa ni Rais usingewapa watoto wako kazi?mbona kikwete aliwapa akina Ridhiwani hata ubunge na amewasimamia kupata uwaziri.Tuache uwongo hata Mimi nikiwa Rais ajira hizi zinazotoka na ninamtoto amemaliza chuo lazima angepata


 
Bingwa wa propaganda miradi ya watangulizi wake kaiteka nyara,fedha za mikopo anadai kawabana mafisadi,anakwapua fedha za watu benki anadai amekusanya kodi,mtu mwenye wivu hataki mtu mwingine asifiwe zaidi yake,ukimbishia vijana wake wanaingia kazini kukuBen Saanane,mbinafsi kila mradi Chato!
 
Ni kitu gani Tanzania tulifanya wakati wa magu ambacho hatukukipata bila msaada au mkopo kutoka kwa Beberu?
 
Ni kitu gani Tanzania tulifanya wakati wa magu ambacho hatukukipata bila msaada au mkopo kutoka kwa Beberu?
Cha msingi hapa ni weruvu hapa ni huko TISS kupanga succession planning sahihi.

Na shughuli za usalama wa nchi na mustakali wake ni mchezo wa watu wenye akili.

Kwa sababu mtu kama wewe ata nikikwambia faida ya serikali kuweka hela bank na kukopeshwa hela zake bank inazonunulia government security, uwezi kuona logic ya hoja.

Kinachohitajika Tanzania ni team ya technocrat kubaini mapungufu ya management issue za taifa, kupanga mikakati na kufanya kazi.

Kusikiliza mabishano ya hoja za hovyo kama yako ni kupoteza muda tu, na hizi ndio akili za watanzania.

Magufuli was special
 
Miafrica mijinga tuu na haipendani.
Inaishi kwa huruma ya wadhungu tuu
 
1. Ben Saanane
2. Azory gwanda
3. MKIRU
4. COCO BEACH HUMAN CORPSES
Uwe mnufaikaji wa system iliyopo sasa, vinginevyo kumsagia kunguni Magufuli ni upunguani.

Besides kwa long term prosperity ya Tanzania inabidi nchi ijipange kwa kuandaa viongozi sahihi na watu wenye.

Kwa siasa za Tanzania na 80% ya uwezo wa viongozi nchi aichomoki.

Mengine ni ujinga tu mnao jijaza kwa kudhani kazi ya kuongoza nchi ni rahisi.

Magufuli was very special
 
kwa vile hakumuua mama yako
 
kwa vile hakumuua mama yako
Alimuua mama yake nani? Kwa mfano.

Mtu mwenyewe unajiita retired, unless uwe umeiba kweli kweli na utakachoacha watoto wako na wajukuu żako waweze kukikuza ata ukiwa kaburini.

Vinginevyo uongozi unataka mtu wa kutengeneza mazingira ambayo ata kama yeye hayupo kuna infrastructure na mitazamo ya kisera ambayo itainua vitukuu vyako.

Wewe ni selfish and ignorant unaefikiria maslahi yako ya muda mfupi, fikra za uongozi ni zaidi ya upuuzi uliojaa kichwani kwako.

What a selfish human being.
 
Maneno mengiii! Hujajibu swali langu. Wewe utakuwa muathirika wa uongo wa ccm. Ccm na viongozi wake wamekuwa wakitudanganya Watanzania tangu uhuru mpaka Leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…