Hii Tanzania ilikuwa na raisi mmoja TU ambaye ni John Joseph magufuri mwamba wa Africa,utakuwa mjinga wa viwango gani unayeshindwa kukunari kazi kubwa aliyoifanya...trump anatufundisha tusiwe watu wa kuombaomba tutengeneze uchumi wetu wa nchi sio kutegemea misada na magufuri aliongea sana na kuasa nchi za Africa kuwa wamoja.