Kawashe ndani ya daladala.Sigara tunavuta kokote wewe hapa sio ulaya, na tena sasa hivi tunakandamiza na BANGE freely.
Ile ukivuta lazima ukanyeSigara zote zitapita lakini nyota itabaki juu
Mkuu wangu... hiyo ya kuvuta sigara ndani ya ndege ilikuwa mwaka ganiUmenikumbusha miaka ileee nilikuwa navuta sigara kwenye ndege Rukhsaa
Na mpaka nilipokuja huku sigara zilikuwa rukhsa kwenye mabus na ilikuwa kawaida
Kwa kweli mambo yamebadilika kama mwanadamu akiamua linawezekana.
Siku hizi mpaka rangirangi za sigara zimepigwa marufuku ni rangi moja zote ili watoto wasishawishikie kwa rangi hizo
Wazungu wana maamuzi kweli yaani kama sisi tu kwa Plastic bags ila wizi pia na rushwa tutaweza tujipange tu baada ya miaka let's say 100
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Na ile harufu inayotoka midomoni mwa wavutaji wakikuongelesha....
Dah tunaoteseka ni sisi tusiovuta
Ñilikuwa naona kwenye makala mbali mbali miaka ya 90 walivuta kwenye ndege na pia kweñye viwanja mpira wà miguu hiyo Ulaya mambo mengi yame badilikaMkuu wangu... hiyo ya kuvuta sigara ndani ya ndege ilikuwa mwaka gani
Ilikuwa miaka ya 80 na 90 na kulikuwa na ashtrays kwenye ndege zote na ilikuwa jambo la kawaida sana ukikata ticket wanakuuliza smoking or non smoking?Mkuu wangu... hiyo ya kuvuta sigara ndani ya ndege ilikuwa mwaka gani
Unazungumzia daladala😨, navutaga tena kwenye madaladala ya mbagala nakubambia nabambia wanwake wanaosimamaKawashe ndani ya daladala.
Doh hiyo ilikuwa vurugu bin taabuIlikuwa miaka ya 80 na 90 na kulikuwa na ashtrays kwenye ndege zote na ilikuwa jambo la kawaida sana ukikata ticket wanakuuliza smoking or non smoking?
Ila walipopiga marufuku tuliteseka sana wavutaji
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Kweli kabisa maana tangu wamepiga marufuku na wengi tumeacha maana kila mahali wanaikataaDoh hiyo ilikuwa vurugu bin taabu