Miaka ile ilikuwa kawaida kuvuta sigara bar, au kwenye mgahawa wa chakula

Ilikuwa miaka ya 80 na 90 na kulikuwa na ashtrays kwenye ndege zote na ilikuwa jambo la kawaida sana ukikata ticket wanakuuliza smoking or non smoking?
Ila walipopiga marufuku tuliteseka sana wavutaji



Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Ni kweli kabisa,miaka hiyo kupuliza fegi ndani ya ndege ilikua ruksa,hivi karibuni Airports zote za Thailand wamepiga marufuku uvutaji wa Sigara na kuvifunga vyumba vya kuvutia "Smoking rooms" ndani ya Airport zote za Thailand.
 
Ni kweli kabisa,miaka hiyo kupuliza fegi ndani ya ndege ilikua ruksa,hivi karibuni Airports zote za Thailand wamepiga marufuku uvutaji wa Sigara na kuvifunga vyumba vya kuvutia "Smoking rooms" ndani ya Airport zote za Thailand.
Kwa kweli wazifunge tu
Ila kwa wavutaji naona middle East na indians wanavuta sana
Kama Dubai smoking area ile pananuka kama ashtray ukipita
Bora wangefunga tu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Kutokana na madhara mengi ya kiafya yanayotokakana na moshi wa sigara, smoking ban iliwekwa. Ni wangapi waliwahi kuulizwa smoking or non smoking area wakati wananunua ticket ya ndege?

Hii inainyesha jinsi nguvu ya umma ilivyo kubwa. Pamoja na mahela ya wenye kampuni za sigara lakini wameshindwa kulizuia hili.

Miaka ile ilikuwa kawaida kuvuta sigara bar, au kwenye mgahawa wa chakula. Sikuhizi hata nyumbani kwako pia unashauriwa uvutie sigara nje hasa ukiwa na watoto. Sisi wengine tulikua tunatumwa kuwasha sigara ya bsbu jikoni na ukiileta bsbu snaendelea na hadithi.
Uzi tayari? duh
 
Back
Top Bottom