Haswaaa mkuu!!Hii ni junction ya azikiwe na samora, hapo katikati kwenye mchanga ndipo ilipo round about ya sanamu ya askari. Kanisa linaloonekana kwa mbali ni Azania front KKKT. Jengo lililokinga kanisa ni hotel ya new Africa.
Ni kweli kabisa, kanisa hilo ni la Azania Front, na lina Architecure ya kijerumani.kabla ya Kanisa la Azania front ni Africa Hotel (new africa hotel)junction inayoonekana ni Askari monument.
Haswaaa mkuu!!
Geography, moja kati ya masomo ya sayansi niliyoyapenda sana.Wakati nasoma O level, nilikuwa sina kawaida ya kupoteza points kwenye maswali ya Geography ya photograph and map reading.
Hii ni junction ya azikiwe na samora, hapo katikati kwenye mchanga ndipo ilipo round about ya sanamu ya askari. Kanisa linaloonekana kwa mbali ni Azania front KKKT. Jengo lililokinga kanisa ni hotel ya new Africa.
Mkuu labda useme Maktaba na Samora. Ndipo kuna junction yenye askari. Azikiwe na samora junction yake ni kule ilipokua salamander zamani. Hakuna askari monument.
Geography, moja kati ya masomo ya sayansi niliyoyapenda sana.
Kijuram alipatia juu ya intersection, ni Azikiwe na Samora(Zamani Independence Avenue).Mkuu labda useme Maktaba na Samora. Ndipo kuna junction yenye askari. Azikiwe na samora junction yake ni kule ilipokua salamander zamani. Hakuna askari monument.