Miaka hiyo , je waweza kujua hapa leo?

Miaka hiyo , je waweza kujua hapa leo?

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,910
Reaction score
15,155
image.jpg

Hapa ni kati kati ya Jiji la Dsm miaka hiyo ya ukoloni wa Mjerumani.
Ni wapi hapa?
 
sokoine drive kutokea TRA unaenda st joseph kuna jengo lipo hadi leo
 
Sokoine drive. Naiona St. Joseph kwa mbaali kushoto na hapo kulia kama sikosei zilikiwa ofisi za Tacoshili
 
nashangaa wataalamu wetu badala ya kujenga mji Mpya Na kuacha historical sites wao wanabomoa... wabongo bado sana, salamander is more
 
kabla ya Kanisa la Azania front ni Africa Hotel (new africa hotel)junction inayoonekana ni Askari monument.
 
Hii ni junction ya azikiwe na samora, hapo katikati kwenye mchanga ndipo ilipo round about ya sanamu ya askari. Kanisa linaloonekana kwa mbali ni Azania front KKKT. Jengo lililokinga kanisa ni hotel ya new Africa.

kwa mbaali nimepata picha kumbe ndivyo palivyokua
 
Enzi hizo kulikuwa hakuna waswahili huko, ni wazungu na waasia tu.
 
Wazungu noma mwaka 1918 washajenga maghorofa wakati serikali ya ccm mwaka 2015 huku kwetu hata barabara ya kokoto hakuna.
 
Back
Top Bottom