SIR_KIMANYO Member Joined Sep 24, 2010 Posts 36 Reaction score 1 Nov 25, 2011 #1 miaka hamsini ya uhuru tutafika lini hapa? Attachments Screen shot 2011-11-25 at 9.13.46 AM.png 3.8 KB · Views: 85
Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,621 Reaction score 4,311 Nov 25, 2011 #2 Huyu jamaa wa kulia anaitwa Mgwasa alikua meneja masoko hapa Arusha kiwanda cha bia nimepiga nae mvinyo sana naona sasa yuko Konyagi Dar!
Huyu jamaa wa kulia anaitwa Mgwasa alikua meneja masoko hapa Arusha kiwanda cha bia nimepiga nae mvinyo sana naona sasa yuko Konyagi Dar!
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,955 Reaction score 7,113 Nov 25, 2011 #3 Wenzio wanakwambia taifa changa eti
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,827 Reaction score 1,314 Nov 25, 2011 #4 Mwanyasi said: Wenzio wanakwambia taifa changa eti Click to expand... mwanetu mchanga wa miaka 50!
Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,832 Reaction score 637 Nov 25, 2011 #5 masikini_jeuri said: mwanetu mchanga wa miaka 50! Click to expand... ndo maana tuna "rahisi" kijana!
Dr-of-three-Phd JF-Expert Member Joined Oct 20, 2010 Posts 202 Reaction score 30 Nov 25, 2011 #6 Taifa changa na mabilioni yanaibiwa? Mwanyasi said: Wenzio wanakwambia taifa changa eti Click to expand...
Taifa changa na mabilioni yanaibiwa? Mwanyasi said: Wenzio wanakwambia taifa changa eti Click to expand...