unafkMiaka yote hiyo nyufa inaweza kuwa imegandana au buibui kibao... na ile kitu isipotumika sana huwa na Bakteria hatari mwanaume akiingia lazima awabebe na kumsumbua
unafkMiaka yote hiyo nyufa inaweza kuwa imegandana au buibui kibao... na ile kitu isipotumika sana huwa na Bakteria hatari mwanaume akiingia lazima awabebe na kumsumbua
nyodo, kujiona the beauty wakati wa kawaida tu... anakaa na watu siyo wa class yake ndiyo maana hawamtongozi.......
mwambie awe social....acjidai dai...Hivi jamani inakuwaje binti akae muda wote huo bila kutongozwa?
Binti kakamilika kila idara, shepu pia ipo, kazi inayomwongizia kipato anayo tatizo analalamika hatongozwi, anadai katika maisha yake yote katongozwa Mara 2 Tu . Umri umeenda sasa anahitaji mume la kumuweka ndani hapati maana hata wa kumtongoza hayupo.
Hutaki? unataka nikuambie kuwa Taarifa hizo nimetoa kwa dadako? mkuu maswali mengine usidadisi sana... Kasome Shule utaelewa Bakteria kwenye Uke wakikaa sana nini kinatokea baadae...unafk
unaongea vitu vya uongo bila utafit toka hapa huna lolote hizo taarifa umezitoa wap
That alone proves yy na wewe ( assuming sio ww) mna matatizo makubwa km ndo anatafuta mme kwa style hii !!Tuma Picha yko pm nimuonyeshe, anataka dume kweli sasa
Hoja rahisi atongoze yeye mwenyewe. Tatizo Africa eti mpaka atongoze mwanaume !!? Atongoze yeyeAnadai tangu anaanza la kwanza hadi la Saba, hakutongozwa, kaenda form one hadi four shule ilikuwa mchanganyiko hakuwahi hata kujaribiwa hata kwa utani kutongozwa, kaenda form five hadi six tena boarding mchnganyiko nako PIA hakutongozwa hadi anamaliza.
Chuo hadi anamaliza hata WA kumwambia njoo unywe soda hakuwahi kupata hadi anamaliza, hadi mtaani ndo hivo
hata sijuiMh miss chagga ww mbona mawazo yako kama vile ya kiume miss chagga