Miaka 8 bila kutongozwa

Amepoteza mvuto huyo,mwambie aje kwangu,nikimuweka chumvi fasta wanaume wanaanza kumfata km nzi anavofata.......
 
Mtongoze umpunguzie mawazo
 
Embu mwambie aje inbox tulonge kidogo
 
Jamani!!! Mambo ya ushirikina hayo. Wengine wanaume wakiwaona na kutaka kuwatongoza wanawaona kama vibibi na wengine wanawekewa sura za ajabu ili wasitongozwe.
Pili inaweza kua ni jini mahaba. Haya madudu hayapendi kushea mwanamke.
Aende kwenye maombi! Akazane na maombi na Mungu atamfungua.
 
Akaoge Maji ya bahari huyo nae
 
Mwambie upunguze unene watu sikuhizi kutongoza matinginya ya nini? Mazoezi afanye hadi apungue na aache mambo ya kidume dume ndio maana haeleweki.

Atoe offer kwanza aone kama watu pia watakauka au lah... Nipe Namba yake
Bwana usiseme hivyo

Kuna wanaume wanapenda hao vibonge, nna rafiki yangu ni kifutu haswaaa ila kaolewa juzi kati hapo.
 
Anataka mwanaume wa kumpiga Mashine ama wa kumuoa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…