Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,011
- 14,350
Achukue wanaume wa wapi sassa ,maana hajasema hiyo shit hole country ni ipi, au assumption zetu ni kuwa watu wote humu ni WatzUje uwachukue baadhi ya wanaume waliobak huku maana wanatusumbua tu ujuaji mwingi shithole boys
Nje ya bara.... Lakini ndugu zake wapo, kawaacha huku shitiholi kantriizi.... Aafu sijui yupo SA...?!JF raha!
Kwamba uko nje ya nchi. hahahahahahahahahaah
Aliko yeye DemissAchukue wanaume wa wapi sassa ,maana hajasema hiyo shit hole country ni ipi, au assumption zetu ni kuwa watu wote humu ni Watz
wew ni pimbi....babako na mamako hawapo ulaya .....Pole mkuu ila hapa sikutaja jina la nchi
Well said mkuu...congrats..Nchi yetu sio shithole hata kidogo, hata kama kuna mapungufu lakini hatuwezi kukubaliana na wewe eti this is shithole hapana aisee, Wapo watu wanapambana humu humu na wametoboa tena inawezekana mara 100 zaidi yako wewe, kushindwa kwako mikikimikiki ya Bongo hakuwezi kutuaminisha nchi yetu ni shithole..
Binadamu kuhama kutoka sehemu moja na nyingine kutafuta maisha ni kawaida tu mkuu, Watu wametoka USA wako hapa wamekuja kupambana, watu wametoka UK wako hapa, wahindi wametoka India wako hapa, Chinese ziko hapa za kumwaga tu, watu wametoka SA wako hapa tunapambana, Sio ajabu pia kwako kutoka na kwenda huko kupambana ni haki yako mkuu.
Analimbuka bado.Jiwe kadatisha watu. Watu walizoea wakiamka asubuhi wana nauli ya basi tu kufika mjini jioni wanarudi na milioni halafu wanapita wanaiunguza yote kesho mzunguko mzima unarudia. Leo hicho kitu hakipo unadhani tutacha kutukana? Kudata kwa kwenda mbele
Jamaaa ni jinga kakulia Africa ,kanya huku leo analeta dharau ......Ningewona ninge mkata kichwa...Haijalishi umetaja au hukutaja, lakini ulichomaanisha ni ulipotoka aka kwenu/nchi yenu. Jibu ni lilelile huwezi kupaita kwenu ni shithole eti kwasababu umeondoka na kwenda kwingine kutafuta maisha. Ungekuwa wamaana sana kama ungepambana kuuondoa huo ushithole na sio kusimanga kwenu...
Thinking capacity yake imefikia hapo mkuu...MsameheAchukue wanaume wa wapi sassa ,maana hajasema hiyo shit hole country ni ipi, au assumption zetu ni kuwa watu wote humu ni Watz
Muandiko mzur nimewaachia maprofesa uchwaraMtu anakaa miaka saba nje ya Afrika lakini bado unaandika kama upo Loliondo. Andiko lote halina hata Aya. Au huko napo ni kama Kolomije?
Huu ndo ushaur sahihi japo bado nipo nipo sanaUlifanya uamuzi sahihi. HONGERA, usirudi hadi 2026 huyu mharibifu akishatoka!.
Kunywa juice ya miwa upunguze jazba mkubwaJamaaa ni jinga kakulia Africa ,kanya huku leo analeta dharau ......Ningewona ninge mkata kichwa...
mbona sijaona tusi hapo.Nina huzuni sana kuona mtu akiandika matusi ya hivi kuhusu nchi yake ya kuzaliwa.
Ama ikiwa yeye anafanya makosa kufikiri hivyo, au ikiwa wengine wamemkosea mpaka kumfanya aseme hivyo, au hata ikiwa ni mchanganyiko wa mawili hayo, bado ni jambo la huzuni sana.
Nimekaa nje ya nchi niliyozaliwa ya Tanzania, hususan Marekani, miaka takriban 20 sasa, na kwa kweli nitakuwa muongo nikisema sijawahi kufikwa na hisia za kuhoji uzalendo wangu kutokana na mwenendo wa uongozi nyumbani, na baadhi ya tabia za kijamii, na pengine kuhoji huko ndio uzalendo wenyewe.
Lakini kamwe sijajisikia kufika kuitukana nchi yangu ya kuzaliwa kwa jinsi hii.
Licha ya hivyo, naelewa baadhi ya sababu za matusi haya na watu kuyachukulia kirahisi.
Hahahaha...Jiwe kadatisha watu. Watu walizoea wakiamka asubuhi wana nauli ya basi tu kufika mjini jioni wanarudi na milioni halafu wanapita wanaiunguza yote kesho mzunguko mzima unarudia. Leo hicho kitu hakipo unadhani tutacha kutukana? Kudata kwa kwenda mbele
Awachukue na wadangaji wote.Uje uwachukue baadhi ya wanaume waliobak huku maana wanatusumbua tu ujuaji mwingi shithole boys
Kaka ww ni zaidi ya Great Thinkers hapa jukwaanimbona sijaona tusi hapo.
hebua ainisha hayo unayosema ni matusi.
@Mleta mada usithubutu kurudi huku nyumbani kuna mateso hasa kama unapenda haki na amani yako.
Pa1 bingwa wngNilichokiandika sipo nacho serious mkuu so ni bora na wewe ukakichukulia hivyo.Jokes tu za hapa na pale,hope umenielewa.
Wadangaji wabaki huko huko ili waendelee kuzaa wengine bingwa wng au unasemaje kakaAwachukue na wadangaji wote.
Hapana chifu. Madanga tupo wachache. Hivi vibinti vinatunyonya sana maana viko vingi.Wadangaji wabaki huko huko ili waendelee kuzaa wengine bingwa wng au unasemaje kaka
HahahahaHapana chifu. Madanga tupo wachache. Hivi vibinti vinatunyonya sana maana viko vingi.