sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,752
- 8,949
Inauma Sana...hata sisi shangazi yetu alijifungua mwaka 1963! Naskia akawa anatoka kinyesi...jamii ikamtenga..akaona isiwe kesi...ndo hii sasa tunaita "fistula!
Tunajiulizaga sijui alipona au alikufa! Aliondoka na mwanayeðŸ˜ðŸ˜
Dah hii inasikitisha aisee.